Tukizungumzia vijana wanaoshikiliwa kwa uhaini wengi wanalifahamu jina la binti strong Niffer.
Lakini kuna huyu mwamba anaitwa Mika Chavala.
Sikuwa namfahamu ila nilim-google baada ya kuona jina...
Today is My Happy Birthday nina jipongeza mwenyewe siku yangu ya kuzaliwa Ninawakaribisha Marafiki zangu wote karibuni tusherehekee sikukuu yangu ya kuzaliwa. Karibuni nyote. .
...
Kila ninaposikia Wimbo wa Starehe wa Ferouz ft Prof Jay basi nasawazika roho na nafsi.
Wimbo uliojaa nasaha na hekima, wimbo uliozingatia maadili, wafaa kwa wazee, vijana wa kike na wa kiume...
Hili life bhana, kutoka kuwa African giant mpaka kuanza kulialia, mhh nguvu ya mashabiki ni kubwa badilikeni someni upepo, mashabiki siku hizi wanajitambua, Burna Boy amekutana na siti tupu...
Jux ashusha ngoma zake mpya alizo ziachia hivi karibuni baada ya Gen z kuacha kusupport wasanii machawa je, asilimia kubwa ya mashabiki ni gen z ?
Hii ni baada ya ngoma hizo kufanya vibaya...
Bushoke nakuita mara tatu, umepatwa na nini kijana wangu?
Kijana umebarikiwa sauti nzuri sana ya kuimba, kama tatizo ni pesa imba, watanzania tupo tayari ku support kazi zako
Ulikofika kwa sasa...
Sio Juakali , Kombolela, Dunia, Big boss na tamthilia nyingine mnadhani wasanii mmeshaona nguvu ya wa wananchi
Unafki umewaponza. Watu wengi walikuwa wanahitaji sana support yenu kama nyie...
Nishazoea mwezi Novemba utasikia huyu katangaza show Kidimbwi, mwengine katangaza show Warehouse sijui mwingine anaenda kwenye tour mikoani
Sasa hivi ukipita akaunti za wasanii wako kimya...
Wakuu,
Huu uzi ni kwa ajili ya reference tu. Siku mambo yakirudi kuwa normal watu wapate reference
Hawa wasanii kwa sasa ni lazima wawe na security guards maana ni hawakubaliki kabisa mtaani...
Daktari bingwa aliyefanikisha upandikizaji wa kwanza wa moyo uliodumu nchini Uingereza, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93.
Sir Terence English, alimfanyia upasuaji huo Keith Castle (52)...
Hizi ni shots ambazo ziko kwenye movie ambayo inategemea kutoka muda si mrefu!
wasanii bado wako location, lakini, wewe kama mdau wa sanaa, una maoni gani kuhusu hizi shot chache zilizopigwa...
Wakuu,
Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania.
Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo...
Muigizaji mkongwe wa Bollywood Dharmendra Kewal Krishan almaarufu ‘He-Man’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89 leo Novemba 24, 2025.
Dharmendra ambaye mmoja wa waigizaji maarufu zaidi...
Hatimaye Mshindi wa Miss Mbeya 2019 amepatikana, Angelah Deocress ndio mshindi wa taji la miss Mbeya kwa msimu huu, ikumbukwe mashindano haya huandaliwa na kituo cha redio cha Dream. FM kila mwaka...