Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni...
36 Reactions
136 Replies
17K Views
Nakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja. Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa...
25 Reactions
80 Replies
18K Views
Msanii na Rapper maarufu Kanye West ameiomba mahakama ya jijini Los Angeles huko California nchini Marekani kubadilisha jina lake kutoka Kanye West na badala yake awe anajulikana kwa jina la Ye...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa kampuni ya Wasafi, msanii Diamond Platnumz ametoa msaada wa kodi ya pango kwa watu 57 ambao ni wajane, walemavu pamoja na wasiojiweza. Msaada huo ni awamu ya kwanza katika ile...
5 Reactions
35 Replies
7K Views
Wakuu, huyu bwana mdogo nimekua nikicheck posts zake mitandaoni napata ukakasi kama kweli (roho yu ndani yake) na vile maandiko yanavosema tujihadhari na manabii wa siku za mwisho. And what's the...
10 Reactions
99 Replies
14K Views
BM3 wakili msomi amepiga kwenye mshono
10 Reactions
46 Replies
5K Views
Bongo flavour ya zamani ilikuwa kali sana, ma-dj wachache, waandaji wa mziki wenye utaalamu wao kama P-Funk,Master Jay na wengine. Game la mziki wa zamani watu walijitolea japo mziki ujawapa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nay ameamua kusema kile ambao wasanii wetu wengi wanakiogopa Kweli ney ni rais wa kitaa.. Nimependa mistari iliopo kwenye wimbo huu na ni mzuri kusikiliza Big up kwake Mara nyingi hua yupo...
9 Reactions
20 Replies
5K Views
Haka kajamaa kanajituma aisee. Na siku hizi naona WCB wanachoimba wanajua wenyewe, atazidi kuwapelekesha saaaana. Uzi tayari.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Inashangaza sana kuona picha nzuri ka hii inakosolewa na baadhi ya watu. Kila anaeiona anasema "Huyu kweli Mmakonde sa ndo msuko gani wa kike" wanadai kuwa hajapendeza na msuko huo. Mim najaribu...
1 Reactions
69 Replies
19K Views
Hii ni moja kati ya picha ambazo zimewapagawisha watu wanao mfuata "followers" kwenye ukurasa wake wa instagram......cheki picha na comments za wadua!...Nouma sanaComments za wadau
0 Reactions
86 Replies
34K Views
Mwili wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ tayari umewasili Utengule, mjini Mbeya, huku wimbo unaotumika katika maombelezo wa msiba huo ukiwa ni ule wa msanii Abelnego Damian ‘Belle 9’ uitwao...
5 Reactions
84 Replies
20K Views
Kweli udongo unameza
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Minister of National Guidance and Religious affairs , Rev.Godfridah Sumail told the media that Koffie Olomide will be arrested if he showed up the shows he has been invited for in Zambia . Source...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Ndugu wa marehemu masogange wanasema hadi dikika hii hawajapata hata mia ya pesa za rambirambi zilizochangwa na wasanii wa Bongo muvi na Bongo fleva,licha ya kuwepo kwa uhakika wa kwamba pesa hizo...
19 Reactions
117 Replies
13K Views
Moja kati ya Matukio yaliyogusa hisia za watu wengi nchini marekani na duniani kote basi ni performance aliyoifanya mwanadada Nightbirde (Jane Marczewski) Mwanadada Jane Marczewski anayeenda kwa...
17 Reactions
29 Replies
5K Views
BURUDANI Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize. Hapo jana Msanii Pasha Mtepa akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV alisema watu wanamkosea heshima kumshindanisha...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
BURUDANI 'Sisi ni maarufu OG sio wa IG" - Ferooz Hapo jana Hitmaker wa ngoma ya starehe Ferooz akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV amewachana wasanii wa sasa wasiosapoti...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa vichekesho vya mchekeshaji namba moja kwa sasa (Mkojani) utagundua flow yake ya utoaji wa kazi imeshuka mno. Mkojani alikua anatoa muvi moja au mbili ndani ya...
3 Reactions
39 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…