Muwe na Ijumaa Njema wadau...
Audio Battle.
......Tukutane hapa kidogo...
Hizi ni ngoma ambazo zilifanya vizuri saana,saana...Miaka kadhaa iliyopita..
Ukiambiwa uchague moja unadhani ipi...
Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa!
Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa...
Rayvanny nae kazubaa sana anashindwa kuiga kama wanavyofanya WCB wako systematic in everything
Label ya Next level Music haieleweki kabisa ni kwamba hana strategy za kueleweka
Ukingia kwenye...
Habarini!
Kama kunamtu anamawasiliano na Mrisho Mpoto, naombeni anisaidie nimejaribu kumtafta Instagram, Facebook na kupitia baadhi ya Media presenters ila sijafanikiwa kumpata
Wakuu kwema? tukutane hapa kidogo...
Jay Moe(juma mchopanga) Pamoja na Afande Sele....Hivi hawa wote wakiwa kwenye kilele cha ubora wao nani hatari zaidi?..
NB: Hasa nyakati zile za Ulimwengu...
Katika wiki hii naweza kusema ndio kipindi kilichopata utulivu mno kweye game la muziki tangu mwaka uanze.
Yani katika kipicha hiki chote kulikuwa na vurugu kubwa sana huko youtube, huyu hata...
Huyu jamaa ni mtunzi mzuri, nasikiliza nyimbo zake ila nimekuja kumgundua nyimbo zake zote kuna vitu vilipita kwake.
Mfano ile nyimbo ya yule mtu wake kufungwa jela. Baada ya kumpata vanessa...
Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau...
Bigbrother ni mchezo mtamu sanaaa, ni mchezo wa kutumia akili sanaa, ni mchezo wenye burudani ndani yake na ni mchezo wa kufunza jinsi ya kumsoma mtu kisaikolojia na hata kumhisi huyu mtu anawaza...
Steve Mengele amesema yeye hajala hela za rambirambi za msiba wa Agnes Masogange bali fedha hizo zimehifadhiwa na wanakamati wake kwani yeye alikuwa ni mwenyekiti tu. Kamati aliyounda ilikuwa na...
Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo.
Ni mzuri
Ana exposure
Si mjivuni
Social
Mambo Safi
Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake.
Baby kabae jua kabisa...
Konde gang ni label ambayo Wasanii wake wamekosa nidhamu sijui kwasababu washakuwa na majina basi wanajiona hakuna kama wao. Au Mipango ya Label ni Wasani wajichomoe akili watrend na kuongelewa...
Sisi watu wa kanda ya ziwa saa nyingine nashindwa kuelewa pale tunapofanikiwa na tukawa maarufu, kosa letu huja tukisha fika Dar. Sijui shida inayotupata huko huwa ni nini. Msodoki ni msanii...
Mwanamuziki mgongwe wa DRC, Aurlus Mabele maarufu kama Mfalme wa Sokous amefariki dunia saa chache zilizopita jijini Paris nchini Ufaransa, huku kukiwa na taarifa kuwa huenda kifo chake...
Sio kwamba Eminem anajiona ni rapa bora sana, HAPANA. Ukweli ni kwamba Eminem ni mwanahip hop/rapa bora kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.
Sio kwamba yeye anahisi hivyo, bali ndivyo ilivyo
Habari wana JF,
Mfanyabiashara wa madini,Jimmy Mcmele,21 amefariki dunia kwa ajali ya gari maeneo ya tegeta dsm akiwa na Benz lake.
Jimmy Akiwa Kwenye Helkopta yake.
AKiwa Na pesa za kutumia...
Mtoto anaitwa Seven Adeoluwa Akinosho
Naaam, mtoto kuingia nchini siku yoyote kukabidhiwa rasmi uchifu.
Hongera dada la dada Vanessa Mdee na shemu yetu
Huyu dada bwana sijui ni kweli anapitia shida ama ni uigizaji?
Kwenye interview moja na Diva clouds alionekana akilia maisha magumu na kutaka kujiua.
Leo hii anaibuka insta akiwa kang'aa
Cheki...
1,Khalid Uledi - Dj KU Times fm, Huyu jamaa anapokuwa kwenye mashine hutaboreka kumsikiliza huwa ana Playlist Bomba kinoma.
2,John Dilinga Matlou (Dj JD-radio one), Huyu naweza Sema ndo...