Young Bilionea wa Madini wa Arusha Afariki Dunia

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,784
5,284
Habari wana JF,

Mfanyabiashara wa madini,Jimmy Mcmele,21 amefariki dunia kwa ajali ya gari maeneo ya tegeta dsm akiwa na Benz lake.

Billionea.jpg
Jimmy Akiwa Kwenye Helkopta yake.

Bilionea2.jpg
AKiwa Na pesa za kutumia kwa usiku mmoja weekend

Bilionea3.jpg
Nyumba yake na Benz alilopata ajali.
 
poleni wafiwa, ila kwa nyie mabilionea wa arusha hasa madini , kama hizo mali mlizipata kwa kudhulumu mtakwisha kiajabu ajabu hivihivi, nlishapata stori moja sasa nimeanza kuamini mlinyang'anya sana mali za watu , na mkamtumia advocate bilionea mawalla na mkashinda sasa mrudieni Mungu , kwa mtazamo tu anzia kifo cha Mawalla , utaona mfululizo wa vifo vya ajabu kwa hawa mabilionea .
 
Kama watafikambinguni,watakuwa na sehemu ya bilionea for arusha dah.

Embu Ungoja niende arusha never knw.
 
poleni wafiwa, ila kwa nyie mabilionea wa arusha hasa madini , kama hizo mali mlizipata kwa kudhulumu mtakwisha kiajabu ajabu hivihivi, nlishapata stori moja sasa nimeanza kuamini mlinyang'anya sana mali za watu , na mkamtumia advocate bilionea mawalla na mkashinda sasa mrudieni Mungu , kwa mtazamo tu anzia kifo cha Mawalla , utaona mfululizo wa vifo vya ajabu kwa hawa mabilionea .

Eeeeh taratibu eroo! Unabonga sanaa.....umejiunga extrime ya kucharaza nini? Naona meandika sana!

FYI, Nyaga hangewezaa ku deal na manyangulo wa design hiyo ya huyo Dogo!

BTW RIP kwa marehemu na pole sana kwa wafiwa.

Sent from JamiiForums
 
Wazazi wake bado hai hiyuyu wengi wanatekefezaga ndugu ama.wazazi.kwenye.madini

Rip jimmy.mbeleyako nyuma ya jf
 
Back
Top Bottom