Eminem ni mwanahiphop/rapa bora kabisa kuwahi kutokea hapa duniani. Sio kwamba yeye anahisi hivyo, bali ndivyo ilivyo

This is a highly subjective matter.

Unapoandika mwanahip hop bora kabisa, angalau weka vigezo objective.

Watu waweze kulinganisha likes with likes.

Vitu kama mauzo ya rekodi, wingi wa album, wingi wa nyimbo zilizoingia katika chart, wingi wa wafuasi katika mitandao ya jamii n.k.

Na hata hapo, kuna vitu kama ubora wa mashairi, kuheshimika mtaani, ubora wa maudhui, uzuri wa nyimbo, haviwezi kupimika kwa objective standard.
 
Speed yake ya kurapu ni noma waafrika na ugwiji wao pale wamechmsha, waliunda zimwi linalowatafuna ni zao la DR.Dree.
Hakuna mzungu atakuja vinja rekodi za Eminem, hayupo.
Nahisi kama ataundiwa sanamu siku akifa.
Mtu mkiwa mnaishi nae mnamuona kawaida ngoja atangulie.Imagine bob,michael rekodi zao hazijavunjwa mpaka leo.
 
Eminem wa kawaida sana. Halafu mimi naona mziki ni subjective kwa hiyo usipende kuanzisha hoja kama hizi, za best rapper, kwa sababu kila rapper ana uwezo wake.
Tatizo ni kusikiliza mainstream music sana, yaani huangaiki kutafuta wasanii raw and underground. Thats why most people ambao wanakuja na mada kama hizi nawashangaa sana, unakuta mtu siyo mfatiliaji sana wa muziki halafu anakwambia fulani ni best rapper alive.
Get into music bro, Listen to people like MF DOOM, Madlib and the likes uone jinsi watu wanavyojua kuchora mashairi na kusuka beats.
Hata muziki wa kizazi kipya (trap) kuna wasanii wako poa sana wapo undergrond for almost twelve years, yaani msanii yupo vizuri kimziki ukimsikiliza unaamini kuna
a wasanii wakali na wamechagua njia ya kutokuwa maarufu.
Kuna utofauti mkubwa kati ya watu na watu, huwezi kumlinganisha mtu na mtu mwingine na ukasema fulani is the best wakati dunia ina almost 8 billion ya watu na kila msanii ana
vionjo vyake wengine hawana, wengi tu ambao hauwezi kumfananisha na mwenzake.
 
Back
Top Bottom