Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii hususan instagram wameonekana kukerwa na msanii Gigy Money kwa namna alivyokuwa akicheza densi isiyo ya kistaarabu huku ameshika bendera ya taifa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla amesema hakuna Hamis fala wakati akisalimiana na mbunge wa Muheza Hamis Mwinjuma na kupost kwenye ukurasa wake wa twitter. Ikumbukwe akina Hamis wote...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Habrini wanajamvi: Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini[emoji23][emoji23][emoji23]. Inabidi watanzania tuache...
6 Reactions
118 Replies
18K Views
Wakuu mm ni mtu na-enjoy Sana Muziki huyu mwamba enzi zake alikua anaimba balaa sijui kaishia wapi?
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga..." Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa...
12 Reactions
117 Replies
13K Views
Wakuu kama mjuavyo mtu wenu ambae chochote kibaya kizuri kwangu ndani ya Jf siwezi ficha wala kukaa kimyaa. Dogo Harmo katoa nyimbo nzuri sanaa ila sasa hii nyimbo pasi na shaka kamuimbia bibi...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Curtis Jackson ameendelea na bifu lake na Floyd Mayether kwa kuchoma vazi la GuCci Kama njia ya kuhamasisha kupinga ubaguzi wa wazungu. Hatua hiyo ilitokana na Kampuni ya Gucci kutengeneza Nguo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mama Diamond Platnumz and her young husband Uncle Shamte are now facing some serious relationship issues. According to their social media, Mama Dangote has unfollowed her bae. It is however...
5 Reactions
62 Replies
50K Views
Naomba kuuliza wanajanvi wenzangu hivi huyu mwanadada wa Simba, Barbara Gonzales ni mtu wa kutokea nchi gani. Ni hayo tu wanajanvi na kaolewa!!?
5 Reactions
94 Replies
64K Views
Kuna watu wamekuwa wakimsema sana sadala kwamba anatakiwa sasa aoe, huwa siwaelewi hawa watu wanamtakia nini jamaa yetu. Yani kijana ana watoto 4 wanaofahamika tayari, ana mali zake za kumwezesha...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kufuatia uchapa kazi wa Bongozozo hatimae leo bungeni amebatizwa jina la kisukuma ambalo ni Masanja ili kuenda kasi ya uchapakazi na uzalendo wa wasukuma nchini Tanzania. Huwezi kuona msukuma...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Mke amfanyia ‘kitu mbaya’ staa wa soka ByMtanzania Digital November 1, 2021 PRETORIA, Afrika Kusini MPACHIKAJI mabao wa zamani wa Orlando Pirates, Tendai Ndoro, amejikuta akipoteza mali zote...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Mwanamuziki Tory Lanez pengine akatupwa jela kwa muda usiopungua miaka 23 ikiwa atakutwa na hatia juu ya kesi inayomkabili ya kumpiga risasi rapa wa kike kutoka nchini Marekani Megan Jovon Ruth...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Kutoka EATV facebook wall, Kwa mara nyingine tumebarikiwa kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mfanyakazi mwenzetu mwenye umri mrefu zaidi hapa ofisini. Jina lake halisi ni Emsly Smith maarufu kama...
24 Reactions
118 Replies
21K Views
Namkubali sana mwamba sijawahi kumuona akiwa na ndevu asew. Ana sauti ya kipekee sana Nani kamfahamu???
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Vijana wa kileo tunapenda sanaa ushabiki bila facts. Ila hili la nani ana miliki WASAFI TV TCRA walishalitolea ufafanuzi zamaniii (tokea 2018) Ukifupi mmiliki wa WASAFI TV ni Kusaga Kwanini...
25 Reactions
225 Replies
37K Views
Mwanasosholaiti Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kukosa kulipia pesa za upasuaji wake. Jumbe zilizopakiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Edgar Obare, Risper alidai kuwa Tanasha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika mtandao wa Twitter umeibuka mzozo mkubwa kati ya baadhi ya wanaharakati na wanachama wa upinzani dhidi ya Tuzo zilizoanzishwa na kijana aitwaye Kennedy Mmari. Wengine wamefikia hatua hadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kituko ninachokikumba ni cha rafiki yangu wa shule ya msingi Theresia, yeye alikuwa anaishi karibu na shule lakini alichokuwa anakifanya anaamka mapema anakuja nyumbani kunifuata kisha tunaenda...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom