Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakuu habari Habari zilizobang sasa hivi ni kurudi kwa P square wanamuziki walioteka dunia nzima miaka ya 2011 na vibao kama do me, Temptation n.k wamerudi na kuwa kundi moja. Ikumbukwe kua hawa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na muigizaji mashuhuri wa filamu za Kihindi kutoka nchini India, Sanjay Dutt ambaye ameahidi kushirikiana na Serikali katika kukuza...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Jamani nisaidieni wimbo wa huyu jamaa unaitwa PAIN IN MEA, nimeutafuta search engine zote but hajuna mwenye nao please anitumie, nitashukuru sana By warumi dinazarde
1 Reactions
50 Replies
16K Views
Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki wa Reggae, mara nyingi nasikiliza online hasa radio za Kenya mfano Getho radio, Vybyz radio etc. Kwa Tanzania kipindi cha Lover's Rock cha EA radio kulikua kina...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
Kila mtu ni sehemu muhimu ya maisha yake katika nchi huru kama Tanzania. Kupiga hatua katika maisha ni kiu ya kila mmoja mwenye afya njema na akili timamu hivyo sio Jambo baya kwa mtu kuwa mfano...
0 Reactions
4 Replies
875 Views
Najua Hamisi Mwinyijuma au Mwana FA ni miongoni mwa wasanii wachache wasomi tulionao hapa Tanzania. Ukiwa msomi, tunatarajia uwe na fikra pana na za kina kwenye masuala mbalimbali ya kijamii na...
15 Reactions
115 Replies
9K Views
Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge. Mchekeshaji huyo ambaye amekuwa akitrend kwenye mitandao ya kijamii kwa muda sasa, alijaribu kuwaongoza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msanii Otile Brown amewakshifu wasanii wa lebo ya Wasafi Zuchu na Mbosso kwa kutumia mistari ya kibao chake kwenye wimbo wao mpya. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Otile amewauliza wasanii...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii hususan instagram wameonekana kukerwa na msanii Gigy Money kwa namna alivyokuwa akicheza densi isiyo ya kistaarabu huku ameshika bendera ya taifa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla amesema hakuna Hamis fala wakati akisalimiana na mbunge wa Muheza Hamis Mwinjuma na kupost kwenye ukurasa wake wa twitter. Ikumbukwe akina Hamis wote...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Habrini wanajamvi: Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini[emoji23][emoji23][emoji23]. Inabidi watanzania tuache...
6 Reactions
118 Replies
18K Views
Wakuu mm ni mtu na-enjoy Sana Muziki huyu mwamba enzi zake alikua anaimba balaa sijui kaishia wapi?
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga..." Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa...
12 Reactions
117 Replies
13K Views
Wakuu kama mjuavyo mtu wenu ambae chochote kibaya kizuri kwangu ndani ya Jf siwezi ficha wala kukaa kimyaa. Dogo Harmo katoa nyimbo nzuri sanaa ila sasa hii nyimbo pasi na shaka kamuimbia bibi...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Curtis Jackson ameendelea na bifu lake na Floyd Mayether kwa kuchoma vazi la GuCci Kama njia ya kuhamasisha kupinga ubaguzi wa wazungu. Hatua hiyo ilitokana na Kampuni ya Gucci kutengeneza Nguo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mama Diamond Platnumz and her young husband Uncle Shamte are now facing some serious relationship issues. According to their social media, Mama Dangote has unfollowed her bae. It is however...
5 Reactions
62 Replies
50K Views
Naomba kuuliza wanajanvi wenzangu hivi huyu mwanadada wa Simba, Barbara Gonzales ni mtu wa kutokea nchi gani. Ni hayo tu wanajanvi na kaolewa!!?
5 Reactions
94 Replies
64K Views
Kuna watu wamekuwa wakimsema sana sadala kwamba anatakiwa sasa aoe, huwa siwaelewi hawa watu wanamtakia nini jamaa yetu. Yani kijana ana watoto 4 wanaofahamika tayari, ana mali zake za kumwezesha...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kufuatia uchapa kazi wa Bongozozo hatimae leo bungeni amebatizwa jina la kisukuma ambalo ni Masanja ili kuenda kasi ya uchapakazi na uzalendo wa wasukuma nchini Tanzania. Huwezi kuona msukuma...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Mke amfanyia ‘kitu mbaya’ staa wa soka ByMtanzania Digital November 1, 2021 PRETORIA, Afrika Kusini MPACHIKAJI mabao wa zamani wa Orlando Pirates, Tendai Ndoro, amejikuta akipoteza mali zote...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom