Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Tunapozungumzia Mtumba Man, wengi wanamfahamu kama mwanamume ambaye anauza mitumba akiwa anaimba na kuvalia mavazi ya wanawake nchini Kenya Je uewahi jiuliza kwa nini watu mashuhuri au vijana...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Huyu jamaa nimemuona mara kadhaa akitajwa kama mjasiriamali mkubwa wa mavazi. Pia anatajwa kama mdau wa masuala ya burudani hususani mziki wa Bongo Fleva. Nimemuona akiwa katikati ya kundi la...
25 Reactions
404 Replies
85K Views
[Chorus – Fundi Samweli] Nikumbatie I’m ready to fly Ready to fly Oh oh, I’m ready to fly Nikumbatie I’m ready to fly Ready to fly Oh oh, I’m ready to fly [Verse 1 – Joh Makini] Tupae tukaishi...
2 Reactions
3 Replies
18K Views
Kwanza nichukue fursa hii kama watanzania wengine kukupongeza ndugu yetu Rayvany kwa kupiga show moja matata sana kwenye tuzo za MTV zilizofanyika Budapest nchini Hungry. Kwa ufupi ile show...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani kwa wale wapenzi wa muziki wa bongo flevaa hebu tujikumbushie matukio, bifu yaliyowahi kubamba miaka ya nyuma ENZI za bongo FLEVA kitambo hiko yaliyowahi kuhit. 1.moja kati ya matukio...
8 Reactions
326 Replies
61K Views
Wakuu naombeni CV ya huyu kibopa wa zamani wa Standard Chartered Bank, then Vodacom na sasa NMB ni mtaalamu wa IT na amehusika katika kuchakachua kura kwa kutumia utaalamu wake uliobobea wa IT kwa...
2 Reactions
23 Replies
14K Views
Wakuu Hivi chanzo cha ugomvi wa mapacha hawa waliounda kundi la muziki la P Square, yaani Peter na Paul. Kiliwakumba nini mpaka wakaamua kutemana na kila mtu afanye kazi kivyake (solo)? ...
11 Reactions
125 Replies
24K Views
Mchekeshaji Stan Bakora ameingia kwenye trend baada ya kuonekana kwenye video akiwa na Sonara akitoboa kitovu chake na kuweka kipini. Kitendo hicho kimezua mjadala kwa watumiaji wa mitandao ya...
7 Reactions
95 Replies
11K Views
Mwanasoshalati na mwanamuziki kutoka Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz. Alipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Najua wenye team zenu mtapanik sana tu, Ila kama aliyosema Ommy dimpz leo kweny kipindi cha XXL huko clouds FM ni kweli, basi huyu bwana mdogo wivu wake ni wa kiwango cha juu sana, na hizi tabia...
10 Reactions
51 Replies
6K Views
Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo " Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka...
5 Reactions
49 Replies
12K Views
Mambo yamemchachia na hali ya kiafya kubadilika baada ya balozi wa bidhaa flani ya kuogea kuingia theatre nchini uturuki hapo juzi kwa ajili ya sajari ya kurekebisha matiti na baadhi ya sehemu za...
10 Reactions
130 Replies
21K Views
Wakuu habari Habari zilizobang sasa hivi ni kurudi kwa P square wanamuziki walioteka dunia nzima miaka ya 2011 na vibao kama do me, Temptation n.k wamerudi na kuwa kundi moja. Ikumbukwe kua hawa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na muigizaji mashuhuri wa filamu za Kihindi kutoka nchini India, Sanjay Dutt ambaye ameahidi kushirikiana na Serikali katika kukuza...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Jamani nisaidieni wimbo wa huyu jamaa unaitwa PAIN IN MEA, nimeutafuta search engine zote but hajuna mwenye nao please anitumie, nitashukuru sana By warumi dinazarde
1 Reactions
50 Replies
16K Views
Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki wa Reggae, mara nyingi nasikiliza online hasa radio za Kenya mfano Getho radio, Vybyz radio etc. Kwa Tanzania kipindi cha Lover's Rock cha EA radio kulikua kina...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
Kila mtu ni sehemu muhimu ya maisha yake katika nchi huru kama Tanzania. Kupiga hatua katika maisha ni kiu ya kila mmoja mwenye afya njema na akili timamu hivyo sio Jambo baya kwa mtu kuwa mfano...
0 Reactions
4 Replies
875 Views
Najua Hamisi Mwinyijuma au Mwana FA ni miongoni mwa wasanii wachache wasomi tulionao hapa Tanzania. Ukiwa msomi, tunatarajia uwe na fikra pana na za kina kwenye masuala mbalimbali ya kijamii na...
15 Reactions
115 Replies
9K Views
Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge. Mchekeshaji huyo ambaye amekuwa akitrend kwenye mitandao ya kijamii kwa muda sasa, alijaribu kuwaongoza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msanii Otile Brown amewakshifu wasanii wa lebo ya Wasafi Zuchu na Mbosso kwa kutumia mistari ya kibao chake kwenye wimbo wao mpya. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Otile amewauliza wasanii...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Back
Top Bottom