Badi Bakule yupo wapi?

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,537
32,144
Wakuu mm ni mtu na-enjoy Sana Muziki huyu mwamba enzi zake alikua anaimba balaa sijui kaishia wapi?

images (58).jpeg
 
...Kama hakufanya la maana enzi zile,ndiyo basi tena,kwa sasa muziki wa dance upo hoi bin taabani.
 
Nini Badi Bakule?
Mwana Masanja tuulize.
Mtu Pesa na nyingine kibao
Siku nikamkuta Sinza kijana wangu anaimba kwa uchungu sana, hakuna aliyeelewa.
Nilikua sina kitu nimechacha kwelikweli.
Nikampa 2000.
Masanja aliniangalia akaangalia hela akaniambia "bro yaani asante sana"
RIP Mwalimu wa Waalimu
 
...Kama hakufanya la maana enzi zile,ndiyo basi tena,kwa sasa muziki wa dance upo hoi bin taabani.
Zamani muziki haukuwa kazi Bali no starehe au kipaji Cha kutumbuiza you unaishia kulipwa viposho na mademu tu wachache walipata nafasi ya kiheuza muziki wakapoga madili kwa kufahamiana na watu.

Angalia wanamuziki wote wenye majina wa zamani hawakuwa na kipato kikubwa maisha yao wote yameiahia kuwa ya kawaida sana wachache waliweza kumiliki band ndio walipata hela kama akina Mubarak Minshehe, Dr Ongala nk Hawa wengine walikuwa waimbaji wanalipwa viposho tu na nyimbo zilikuwa za bendi hata ukitunga wimbo as long umeajiriwa na band basinndio inakuwa hivyo.

Tuwaonee huruma tu na kuwapongeza kwa kusukuma muziki mpaka leo vijana wanapata hela na kuanza kudharau walioubeba muziki wakati hailipi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom