Mke amfanyia ‘kitu mbaya’ staa wa soka

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,020

Mke amfanyia ‘kitu mbaya’ staa wa soka​

ByMtanzania Digital
November 1, 2021

PRETORIA, Afrika Kusini
MPACHIKAJI mabao wa zamani wa Orlando Pirates, Tendai Ndoro, amejikuta akipoteza mali zote alizochuma baada ya kukorofishana na mkewe aitwaye Thando Maseko.

Katika kilele cha penzi lao, Ndoro aliyewahi pia kung’ara akiwa na timu ya taifa ya Zimbabwe, aliandikisha jina la bibiye huyo kwenye mali zote, yakiwamo magari na nyumba.

Sasa, kilichotokea ni kwamba wawili hao wametibuana na alichokifanya bi. Thando ni kumfukuza mshikaji kwenye mjengo waliokuwa wakiishi, ikizingatiwa kuwa ndiye jina lake linalotumika kwenye umiliki.

Taarifa za Ndoro ‘kufulia’ zilianza kusambaa nchini Afrika Kusini hivi karibuni baada ya mwanasoka huyo kuonekana akiwa amepungua uzito, ambapo ilielezwa kuwa huenda anasumbuliwa na tatizo la akili.
 
For English audiences

C318A899-0150-4147-AFD7-6FA83575C521.jpeg
 
Hahaha mbususu hizi jamani. Sasa jama hakupata somo kuwa mwanamke ni chombo cha starehe tuu na wala usijidanganye unapendwa
 
Pole zake! Kuna wanawake ni mashetani, unaweza kuwa naye ukajisahau kila kitu na kuzani upo salama!

Hata hivyo namshauri atafte wakili msomi anaweza kupata haki yake ! Kuandika jina la Mke/Mume kwenye mali mlizochuma wakati wa maisha ya ndoa sio mwisho wa kupata haki kwa yule ambaye jina lake halikuandikwa!

bali kinachomata ni mali ilipatikana wakati gani?

Mfano hata kama umeoa mke ukiwa ulishanunua kiwanja na tayari umeshajenga nyumba ya uwani, mkaja kutengana wakati ulishajenga ya mbele, bado mke atahesabika ana share kwenye ile nyumba ya mbele hata kama kiwanja kina majina ya mume tu!

Hivyo mwamba aende mbele ya sheria haki yake bado haijapotea, mwaka ambao yeye alianza kuishi na huyo kimada na mwaka/miaka ambayo nyumba na magari hayo vilipatikana ndio vitadetermine kama hizo mali zote ni matrimonial prorty au laa!
 
Hapa wanaume tupate funzo kwamba unapoamua kuandikisha mali zako kwa jina la mwenzi wako, hakikisha pia kuakuwa side contract kwamba mlikubaliana kwamba mali za familia yenu zisajiliwe kwa jina lake!

Hapo mkataba utamaanisha mlichagua mali zitumie jina lake na si kumilikiwa na yeye!
 
Mke amfanyia ‘kitu mbaya’ staa wa soka​

ByMtanzania Digital
November 1, 2021

PRETORIA, Afrika Kusini
MPACHIKAJI mabao wa zamani wa Orlando Pirates, Tendai Ndoro, amejikuta akipoteza mali zote alizochuma baada ya kukorofishana na mkewe aitwaye Thando Maseko.
Katika kilele cha penzi lao, Ndoro aliyewahi pia kung’ara akiwa na timu ya taifa ya Zimbabwe, aliandikisha jina la bibiye huyo kwenye mali zote, yakiwamo magari na nyumba.
Sasa, kilichotokea ni kwamba wawili hao wametibuana na alichokifanya bi. Thando ni kumfukuza mshikaji kwenye mjengo waliokuwa wakiishi, ikizingatiwa kuwa ndiye jina lake linalotumika kwenye umiliki.
Taarifa za Ndoro ‘kufulia’ zilianza kusambaa nchini Afrika Kusini hivi karibuni baada ya mwanasoka huyo kuonekana akiwa amepungua uzito, ambapo ilielezwa kuwa huenda anasumbuliwa na tatizo la akili.
Naandik nafuta naadika nafuta..

Namuwaza huyo jamaa kama angekuwa ni Chacha marwa magige wa musoma sijui
hiyo scenerio ingekuwaje
 
Pole zake! Kuna wanawake ni mashetani, unaweza kuwa naye ukajisahau kila kitu na kuzani upo salama!

Hata hivyo namshauri atafte wakili msomi anaweza kupata haki yake ! Kuandika jina la Mke/Mume kwenye mali mlizochuma wakati wa maisha ya ndoa sio mwisho wa kupata haki kwa yule ambaye jina lake halikuandikwa!

bali kinachomata ni mali ilipatikana wakati gani?

Mfano hata kama umeoa mke ukiwa ulishanunua kiwanja na tayari umeshajenga nyumba ya uwani, mkaja kutengana wakati ulishajenga ya mbele, bado mke atahesabika ana share kwenye ile nyumba ya mbele hata kama kiwanja kina majina ya mume tu!

Hivyo mwamba aende mbele ya sheria haki yake bado haijapotea, mwaka ambao yeye alianza kuishi na huyo kimada na mwaka/miaka ambayo nyumba na magari hayo vilipatikana ndio vitadetermine kama hizo mali zote ni matrimonial prorty au laa!
Wacheza mpira hawana kabisa elimu.
 
Back
Top Bottom