Yupo wapi Baba T wa East Africa Radio

ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
13,827
27,257
Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki wa Reggae, mara nyingi nasikiliza online hasa radio za Kenya mfano Getho radio, Vybyz radio etc.

Kwa Tanzania kipindi cha Lover's Rock cha EA radio kulikua kina nivutia sana na sababu ni moja tu mtangazaji wake Baba T jinsi anavyo host kipindi, matamshi yake pia playlist yake sio Bob Marley na Luck dube kama radio stations zingine.

Kwa hivi karibuni sijamsikia almost miezi sita sasa naomba kufahamu yupo wapi mzee wangu huyu, I really miss him terribly.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom