Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,780
124169500_10158884633454339_7259938905221442646_n.jpg

Huyu jamaa nimemuona mara kadhaa akitajwa kama mjasiriamali mkubwa wa mavazi. Pia anatajwa kama mdau wa masuala ya burudani hususani mziki wa Bongo Fleva. Nimemuona akiwa katikati ya kundi la wasanii wa mziki na maigizo.

Gazeti la the Citizen limemuandika kama ni mjasiliamali kijana akijikita kwenye biashara ya mavazi.

Kabla sijamwagia sifa kama walivyofanya wengine, Nimejukuta nimetamani kumjua zaidi,kumjua nje ya box. Ametokea wapi.Amepambanaje.
 
Hao jamaa bwana

Ni kawaida kukuta mmoja wapo kati yao Milioni Mia ngapi kwake ni hela anayoshika mara kwa mara ila anavaa kama masikini tu kuvaa mitumba mitumba wakati mtu anashika hela nyingi sana za kwake
Labda Vijana wao , hawa watabadilisha kitu....
Ila wakinga wanafurahisha sana.

Mfano duka la mkinga la mtaani
Kwa ajili ya mahitaji ya Nyumbani....
Ila utakuta lina nguo, viatu, dagaa, spare za baiskeli,....
Kiufupi ni vurugu tupu.
 
Kande sio chakula? Kwa hiyo ili mtu umkubali kama tajiri anatakiwa ale nini?
Kula vizuri bwana , kama Milioni unaishika kila siku inatakiwa unakula samaki wabichi, Kuku n.k yaani vyakula vizuri vizuri mdomoni na kiafya

Sio mtu unashika mamilioni halafu unavaa mitumba , unakula chakula ambacho masikini anakula ila hicho chakula mwenzio masikini anakula sababu uwezo wake wa kipesa umeishia kumudu hicho chakula kibovu anachokula
 
Malengo babu...wewe unaona kwa kuwa anashika million basi amefika kumbe mwenzio hata nusu ya malengo yake hayajatimia. Mbona mimi kuna watu nawafahamu wananakula na kuvaa vizuri tu hata hapo kwenye main post kuna picha ya Fred na kavaa vizuri tu au ulitaka avae micheni ya gold ndio ukubali kuwa amevaa sawasawa na pesa zake?
 
Ulafi umekujaa na tamaa juu yake
 
Back
Top Bottom