Nguli katika Ujasiriamali na ushauri wa Maisha duniani. Ametunukiwa Doctorate kutoka Chuo Kikuu (jina Kapuni) kwa kazi alizofanya nchini na duniani. Asanteni.
**New Dr in town
Gen Z si watu wazuri aisee. Hawa watu wamejipanga kukukwamisha tena. Dada achana na hii biashara kabisa.
NB: baadhi ya wapishi wako ni Gen Z wasije wakaweka sumu kwenye Chakula wateja tukadhurika
Kweli mwaka 2025 utatuachia kumbukumbu nyingi Sana!
Kwa kawaida na kwa mazoea ya miaka yote kipindi hiki cha sherehe za Christmas na mwaka mpya ni kipindi cha shamrashamra na vibes za kila aina...
Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.
Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya...
Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi
Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho...
Kitendo cha wasanii wa Tanzania kususiwa kazi zao na jamii Yao kimewaibua vijana wanaofanana na wasanii hao na kuwafanya wajikusanye pamoja ili kwenda vijijini kujaribu bahati zao za kupiga show...
Chidi Benz - Madawa ya kulevya
Ray C - Madawa ya kulevya, kwa sasa kajirudi yupo ulaya
Vanessa Mdee - alinusuika kupotea kwa Unywaji wa pombe kupitiliza,
Langa - Madawa ya kulevya, RIP
Nhwea...
Inasemekana watu wengi wameondoka mijini na kwenda vijijini kwao kusiko na fiber, kwahiyo wasanii wanakosa viewers.
Ikumbukwe anavotoa Sukari 2021 alipiga views Mil 1 chini ya masaa 24.
Sema...
Nicki Minaj amejiondoa kwenye mtandao wa Instagram, baada ya kurudi, ndani ya muda mfupi baada ya kukumbwa na upinzani mkali mtandaoni. Tukio hilo linahusishwa na ushiriki wake katika mkutano wa...
Hawa jamaa nimetokea sana kuwaangalia pale YouTube.
Kuna ambao wako very professional na hapa nampa masuul, Ivan kias, zompal anajua ila hana vocal sana.
Hawa jamaa kitaalamu sijui kama ki...
Baraza la Mashekh wa Mkoa wa Dar es Salaam Chini ya Mwenyekiti wake Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam limevunja rasmi ndoa ya Bi. Queen Masanja ambaye alikuwa Mke wa Dk. Mwaka leo hii Tarehe...
Baada ya mgombea wa republican Donald Trump kukoswa risasi katika kampeni zake, wimbo wa 50cent MENY MEN ulitrend na ikawa anthem kwenye kampeni zilizofuata baada ya tukio lile.
Kampeni...
Call of Duty legend Vince Zampella DEAD at 55 after his car veered off Angeles Crest Highway, slammed into a barrier and BURST into flames The single-vehicle crash ejected a passenger who later...
Nimemwona Hammo rapa akiongea kiingereza kibovu kiasi kwamba analitia aibu taifa.
Majirani zetu Wakenya wakiona hii ndio watatucheka kabisa.
Wizara inayohusika na sanaa impige marufuku Hamorapa...
Katika Hali ya kushangaza watu wamejiuliza hivi wanigeria nao wamesusa? Ukitoa waandishi wa habari, na familia ya mke wa jux uwanja unabaki holaaa Yani unaweza hata wahesabu, na ukagawa chai na...
Wasanii siyo Oxygen. We can do without thém!
After all, by 99.9% are a product of classroom failure!
They are Iron Boys to entertain the State! as documented by Plato in The Theory of a State...
Msanii Marioo ameonyesha shukrani za dhati kwa mashabiki wake kufuatia mapokezi makubwa ya wimbo wake mpya “OLUWA.” Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye Instagram, Marioo alieleza kuwa upendo...
Kiufupi huu mchezo wanaouanza utawaponza wenyewe na tumeona na tumethibitisha msanii mario kutumia maroboti kuboost views huku akijitamba kwa kuwashukuru mashabiki ilihali anajua kabisa mshabiki...
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva wenye ladha ya R&B na Afro-pop, Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Ndani, George...