Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Khaby Lame ndiye mtu maarufu zaidi kwenye mtandao wa TikTok akiwa na wafuasi milioni 160. Mapema wiki hii, alisaini mkataba wa dola milioni 975 na kampuni ya Rich Sparkle Holdings, akiipa kampuni...
6 Reactions
13 Replies
661 Views
Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga Hapatagi utamu...
4 Reactions
140 Replies
2K Views
Muonekano wa huyu mwanamama mke wa mkubwa Fella huwa unanipa mkanganyiko maana ni wa kipekee,kwa wanao mjua hebu tujuzeni ni mzungu au ni shombe shombe??? -Ndumilakuwili-
11 Reactions
170 Replies
38K Views
Suala la mjadala kuhusu nani ndie mfalme wa muziki wa Africa, limekuwa likichukua kasi. 👉Huku kila mmoja akivutia kamba upande wake, kuanzia east Africa kina king kiba, diamond na hata konde boy...
14 Reactions
142 Replies
10K Views
PISIKALI pitia ushauri wa bure kabla haijawa too late. https://youtu.be/v8lEDGzJSyg?si=U1UFckN1KPOf_jsI
4 Reactions
69 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mheshimiwa Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo , ametembelea Ofisi za Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) leo tarehe 28 Januari, 2026 Jijini...
9 Reactions
50 Replies
1K Views
Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba. 👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini. Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je...
22 Reactions
136 Replies
9K Views
Ile siku iliyo kuwa iki subiriwa Sana na wapenzi wa muziki Africa ndo leo hii ambapo katika usiku wa Leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy. Taarifa hii itazingatia wasanii wa kiafrika tu...
3 Reactions
179 Replies
10K Views
Kwa upande wa filamu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania,basi kwenye hiyo listi Shumileta haiwezi kukosa hata iweje. Stori ya filamu inasisimua sana na iliishia sehemu ya pili, na baada ya...
6 Reactions
73 Replies
1K Views
Unaambiwa Mwanamuziki wa RnB R Kelly anatazamiwa kuachiliwa huru kutoka gerezani Disemba 21 mwaka 2045 na wakati huo atakuwa na umri wa miaka 78! Mwaka 2021, R Kelly alihukumiwa kifungo cha miaka...
4 Reactions
20 Replies
771 Views
hamis77 secretarybird kuna ex-communicado mwenzenu hapa😁😁
7 Reactions
7 Replies
546 Views
Nyota wa soka wa Senegal, Sadio Mané, aliwahi kufichua ukweli wa safari yake yenye maumivu, upinzani na ndoto kubwa kabla ya kufanikiwa katika soka la dunia.Mané anasema kuwa akiwa mdogo, mama...
4 Reactions
4 Replies
483 Views
Nikiangalia muziki unaoimbwa Nigeria 🇳🇬 miaka ya hivi karibuni na nikitupia macho muziki wa kina 2Baba (zamani 2face idibia), P Square hawa jamaa waliimba kwelikweli. Hawa jamaa walikuwa na...
3 Reactions
23 Replies
548 Views
H baba alikuwa anajiliza mitandaoni amefiwa na mama yake katoa mpaka maelekezo msiba ulipo na namba katoa ila hakuna pole yoyote aliyopokea pia ukimtoa mkewe Flora Mvungi hakuna msanii yeyote...
12 Reactions
31 Replies
1K Views
"Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami. Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha...
20 Reactions
133 Replies
4K Views
Ukiwa mdumavu wa akili hatua inauofuata ni kutopea kwenye umaskini kisha kuanza kuamini kila jambo unalosikia na kuona . Ukiambiwa Abdul amenunua private jet unajaa. Ukiambiwa andamana upiganie...
2 Reactions
15 Replies
585 Views
Kuna mdau mmoja humu kauliza swali kama kiredio na demu wake wamewchana. Hata hivyo kamati ya umbea ya JamiiForums ikiongozwa na Gentamycin imefuatilia na kubaini Demu wa kiredio anayejulikana...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
KIMEELEWEKA! Baada ya kuruka viunzi vya hapa na pale, hatimaye, mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameridhia kupokea posa ya rubani wa ndege, Hamdan Zakwani ‘Danzak’, Gazeti la...
8 Reactions
149 Replies
22K Views
Msanii maarufu wa muziki kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, amejikuta katika mvutano mkali wa kisheria na timu yake ya zamani ya usimamizi, Black Major, kufuatia madai ya kutolipwa kwa kamisheni...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Ndugu wana jukwaa, Leo ni siku ya huzuni tunapopokea habari za kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa kweli wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong—Leung Choi-sang. Kwa wale tuliozaliwa na kukua...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…