Wcb wasafi ndio lebo namba moja afrika mashariki na kati hivi sasa lakini wasanii wake ni masikini kwa sababu kikubwa katika wanachotengeza kinaishia kwa mameneja na kidogo kwao.
Nimewahi...
Katika kurahani na burudani redioni nikiwa nimetune Mawingu Fm Barnaba Classic akiwa anatambulisha Album yake mpya.
Albam aliyowashirikisha wasanii wenzake akiwemo Alikiba na Diamond.
Adam...
Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60.
Tuhuma...
Barnaba Classic aka Mopao ama kwa hakika ndio the best vocalist of all time. Hii nchi haijawai kupata fundi wa kucheza na sauti kama Barnaba.
Anajua kufungua koo. Kwenye melodies ni noma na nusu...
Wakuu Magic Johson (Mcheza Kikapu Mstaafu) mwenye Suti amemshika Kijana wake wa kiume (ambaye ni Shoga) anamtakia birthday wishes.
Hii dunia tulipo Mungu kapoteza kiberiti, angeshaiwasha Kabisa.
Akiongea kwenye E-News ya East Africa Yusuph Mlela amesema Bongo Movies wameanza taratibu za kumshitaki jamaa maarufu anaetafsiri movies za nje maarufu kama Dj Mark na wengine wote wanaotafsiri...
STAA wa Shindano la Big Brother, Mwisho Mwampamba, amesikitishwa na vitendo vya ubaguzi alivyofanyiwa na Polisi wa nchini Namibia, anakoishi na mkewe, Meryl Shikwambane, ambapo walimfuata kwenye...
Nimepata wasaa leo nikaskiliza album mpya ya barnaba classic. Ni album nzuri kwakweli lakini nilivyofika kwny track aliyomshirisha Marioo, kuna kitu tofauti kabisa nikagundua kwny ngoma hiyo. Yule...
UAMUZI WA RAYVANY KUONDOKA WCB UTAMPELEKEA KUPATA ANGUKO KUBWA KATIKA MAFANIKIO YAKE:
Ikumbukwe kuwa Rayvany alishajiondoa WCB lebo mama iliyomkuza tangu alipoondoka kwa Madee akiwa msanii...
Huyu kijana wa Banza Stone Hanstone ninaamini ana kipaji kikubwa sana. Ameonesha uwezo mkubwa sana kwenye wimbo wa Iokote alioshirikishwa na Maua Sama, na hatimaye nyimbo zake mbili ailizozitoa...
Natanguliza pongezi zangu kwa mtajwa hapo juu ambaye alikuwa mbeba MABOX maarufu huko USA, na mambo yalivyozidi kubana akarudi nchini, kafanya mambo makubwa kwenye mitandao ya simu nchini kwa...
JE ALICHOKIFANYA HARMONIZE NI SAHIHI?
Msanii Harmonize Kupitia Kionjo cha Wimbo wake Mpya Dunia Ameimba kuwa Anaamini Mungu yupo na Anajua hata akitaka kumchukua Sasa Hivi anamchukua Lakini...
Serious mtu unahejisifu kuwa umekaa sough Africa kwa miaka kadhaa unaenda kumteka mtu mbele ya kamera na kumlazimisha akili maneno ya uwongo ambayo umeyapanva wewe.
Seriously mtu mwenye exposure...
Naa Ashorkor In Conversation With Gurudev
Renowned Ghanaian actress and media personality Naa Ashorkor sits down with Gurudev to ask him some never before asked personal questions! She goes on to...
Msanii Raymond Shaban Mwakyusa AKA Rayvanny aliyepo chini ya label ya Wasafi Classic Baby (WCB) amesema atahakikisha anatoka kwenye label hiyo kwa amani. Katika kipindi cha Salama Na Rayvanny...
Habari zenu wakuu,
Huyu mkenya Otile brown nadhani Yuko underrated Sana, Maana nyimbo zake Kali lakini hajulikani kiivyo. Kuna nyimbo aliitoa na Sanaipendi Tande inaitwa chaguo la Moyo kusema...
Mtumishi Boniface Mwamposa amesema shetani alikuwa Mwandishi wa habari, wanaoandika habari mbaya wapo upande wa shetani, ameyasema hayo Agosti 15, wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Wananchi...