Otile Brown na Sanaipendi waliua kwenye nyimbo ya chaguo la Moyo

Grena

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
657
1,542
Habari zenu wakuu,

Huyu mkenya Otile brown nadhani Yuko underrated Sana, Maana nyimbo zake Kali lakini hajulikani kiivyo. Kuna nyimbo aliitoa na Sanaipendi Tande inaitwa chaguo la Moyo kusema ukweli waliua.

Yani nyimbo tamu hata Ukiwa single unatamani kufall in Love, Verse na sauti zao ndo kabisaaa. Bonge la RnB, Unaeza ukaweka repeat siku nzima.

Naupenda huu mstari, Mshkaji wangu wa maisha oh baby I Love you.

 
Back
Top Bottom