NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
Natanguliza pongezi zangu kwa mtajwa hapo juu ambaye alikuwa mbeba MABOX maarufu huko USA, na mambo yalivyozidi kubana akarudi nchini, kafanya mambo makubwa kwenye mitandao ya simu nchini kwa kubuni extreme promo ambazo zimempa sifa.
Ombi langu kwa mliobakia huko nasikia kuwa mnateseka sana na hela mlizopewa za stimulus package zimeisha ila mnajiuliza mtarudije... rudini tu kama mlivyoondoka huku mkiwa na hicho ki-slang cha kuch kuch gut gut wanna wanna gonna gonna, wit wit mtatoka tuu, makampuni yanachanganyikiwa sana na hilo swala hawajalishi vyeti just come home, sweet home....
Karubuni sana.