Ray Vanny, Next level C.E.O

Vanny boy anavyosepa na Kijiji
FB_IMG_16604936373642381.jpg
 
Ni kweli amejitahidi. Kwangu mimi katika matamasha yote ya mpira wa nchi yetu, niliyo bahatika kuangalia mwaka huu, Wasanii waliofanya vizuri ni kama hawa wafuatao;

1. Rayvany - Azam Festival 2022
2. Marioo - Week ya Mwananchi 2022
3. Harmonize - Singida Big Stars day 2022.
4. Zuchu - Simba day 2022.

Kwa matamasha yaliyotia fora;
1. Tamasha la Yanga 2022
2. Tamasha la Azam 2022
3. Tamasha la Simba 2022
4. Singida Big Stars.

Naomba kuwasilisha.✍️
 
Hakuna lolote ,ndio wale wale NYOOSHA MKONO...

KUSHOTO....KULIA...KUSHOTO....KULIA

Ndio maana hawa wanaojiita wasanii bongo siwezi kutoa hela yangu kwenda kwenye tamasha lao.

Yaani nitoe hela yangu badala ya wewe kuimba unaniimbisha mimi kwa kuzima zima miziki na kunifanyisha mazoezi ya kunyoosha mikono KULIA KUSHOTO. Sio mimi
 
Huwezi kufanya kitulize
 
Na ukinyoosha mikono juu ukishusha watu wamelamba wallet na simu. Matamasha yenyewe vumbi tupu na vibaka kibao.
 
Hakuna lolote ,ndio wale wale NYOOSHA MKONO...

KUSHOTO....KULIA...KUSHOTO....KULIA

Ndio maana hawa wanaojiita wasanii bongo siwezi kutoa hela yangu kwenda kwenye tamasha lao.
Yaani nitoe hela yangu badala ya wewe kuimba unaniimbisha mimi kwa kuzima zima miziki na kunifanyisha mazoezi ya kunyoosha mikono KULIA KUSHOTO. Sio mimi
naungana na ww na ole wao ikitokea siku tukienda watuite mbwa tuko tumekaa paleeee tunamwagilia moyo na hennessy bariiddiiii
 
Back
Top Bottom