Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yaani umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako Warumi nina...
Kampuni kubwa ya mavazi ya Adidas imevunja mahusiano ya kibiashara na rapa Ye, anayejulikana kama Kanye West, na kusema "Haivumilii chuki dhidi ya Wayahudi na matamshi yoyote ya chuki"...
Kampuni ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata hasara ya Pauni Milioni 450.
Adidas inatarajiwa...
Makosa ya kimatibabu yaligharimu uhai wake
Mwaka 2005 Stella Obasanjo mke obasanjo (aliyekuwa rais wa nigeria) akiwa anakaribia kusherekea birthday yake ya kutimiza miaka 60.. aliamua kusafiri...
Huyu kijana alitamba sana kipindi cha nyuma kwenye kwenye shindano la kusaka vipaji vya kuimba BSS.
Kutoka na kupiga guitar kwa umaridadi mkubwa na kuimba vizuri kulimfanya ajizolee mashabiki...
Wayne Rooney’s son Kai says he sees himself playing in the Premier League in 10 years time - and that his biggest inspiration is his dad.
The 13-year-old is currently in Man United’s academy...
Siku ya jumanne tarehe 28 Paula mtoto wa Pfunky na Kajala ameachana na ukapera rasmi baada ya kufunga Ndoa na raia wa Nigeria ambae anaishi Dubai anayeitwa Ally.
Mungu amtangulie maana shule...
Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani.
Inavyoonyesha WCB hawakwepeki...
Mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi Pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii Jodevi wa ngurumo za upako...
Kwa mujibu wa makubaliano ya Talaka, Nyota huyo wa R&B atabaki na nyumba 3 kati ya 4 walizokuwa nazo, na kiasi hicho cha fedha atalipwa mzazi mwenzake, Crystal Renay ili kuweka usawa wa mali...
Mambo vipi wakulungwa?
Aisee huyu jamaa anajua sana aina ya mziki anaoufanya amapiano, halafu anachanganya na fuji sijui na makorokoro gani. Anajua sana kucheza na mdundo, hasa Producer wake...
Wanajamvi,
Kuna msemo usemao "Beauty lies in the eyes of beholder". Leo naomba nimtambulishe huyu mdada mbongo sijui nimuite MC , sijui Bongo Movie Actress au Bongo Fleva artist anaitwa Menina...
Nyota wa muziki miondoko ya Afrobeats Davido anasema atatoa naira milioni 250 ($608,000; £450,000) kwa mayatima nchini Nigeria baada ya mashabiki wake kumtumia pesa.
Mapema wiki hii, mwanamuziki...
Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao.
Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani.
Huku...
Wakuu salaam,
Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo...