Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hii ni moja ya picha ya mategemeo ya ukuaji kwa watoto walio chini ya uangalizi wa baba na walio chini ya uangalizi wa Mama, sio tuu kiumbo bali,kiakili na kihisia yaani hulka jinsia kwa ujumla...
12 Reactions
25 Replies
4K Views
Sina records nzuri lakini sijawai kuona msanii wa kike Tanzania amebeba tuzo nyingi hivi kwenye event moja. Zuchu kwa ili unastahili hongera, upo kimya umeacha kazi zako zipige kelele. Sisi ndio...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Tukiwa bado tunashangaa uhamisho wa watangazaji kadhaa wa EFM akiwemo Maulid Kitenge. Leo Majizo kajibu mapigo kwa kumsajili Masanja kutoka wasafi.
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Kundi la Muziki la Sauti Sol kutoka Kenya limetangaza nia ya kujitoa kwenye Shirikisho la Hakimiliki (MCSK) kwa maelezo ya kutoridhishwa na ulipaji wa fedha zinatokana na matumizi ya kazi zao za...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Mtangazaji Jerry Springer amefariki dunia Kwa mujibu wa familia yake, Jerry Springer amefariki kutokana na ugonjwa wa Cancer Jerry Springer amefariki akiwa nyumbani kwake katika jiji la Chicago...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile...
10 Reactions
63 Replies
9K Views
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM. Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu. Swaga zako...
20 Reactions
59 Replies
6K Views
Bosslady na socialite Zarina Hassan Aka mama watano na mdada mwenye mbwembwe East Africa ameolewa Jana Kwa Ndoa ya kidini Huko Kwa Uganda Picha zimetrend akiwa na anavalishwa Pete na huyo mmewe...
20 Reactions
200 Replies
12K Views
Ni muda sasa toka mwaka huu uanze hasikiki kwenye kipindi cha Power Break Fast Mwanamama huyu mwenye haiba ya kiburi na jeuiri mbele ya watangazaji wenzie hajasikika, pengine wanaojua watujuze...
6 Reactions
86 Replies
9K Views
Mama Dangote ambaye ni mama ya staa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na mume wake Rally Jones almaarufu kama Uncle Shamte wamepuuzilia mbali madai kuwa ndoa yao imesambaratika. Walipokuwa kwenye...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
Millard Afrael Ayo majina mengine ya utani Muyenjwa Laizer alizaliwa Arusha January 26 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru...
26 Reactions
133 Replies
21K Views
Tangu Langa atutoke ni miaka 10 sasa sikuwahi kuona wa kuziba pengo lake. Dizasta Vina a.k.a Maradona huyu jamaa kutokana na mpangilio wa verse zake, namna anavyoflow naweza kusema pengo la...
3 Reactions
88 Replies
5K Views
Usiku wa Jana Kampuni ya Brazzers imempongeza muingizaji ANGELA WHITE kwa kutwaa Tuzo 3 za Pornhub katika usiku wa Jana wa Pornhub awards katika vipengele vya -TOP Dp performer -TOP niciest tits...
11 Reactions
142 Replies
15K Views
Diamond Platnumz ambae ni msanii namba moja Africa. Hatimaye amepewa jina jipya kwa sasa anaitwa aka Sheikh Mansoor. Wakimfananisha na tajiri mmiliki wa Manchester City Ameuanza mwaka sasa yajayo...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Wasalaam Wakuu. Kila leo ubunifu wa aina mbalimbali jinsi wasanii wanavyowasilisha kazi zao kwa hadhira inazidi kuongezeka. Kuna Msanii maarufu kwa jina la 'Kicheche', ana namna yake ya kipekee...
3 Reactions
8 Replies
6K Views
Nianze kwa kuelezea hisia zangu kwake. Nampenda sana huyu bidada. Kila ninapoisikia sauti yake ikichomoza kwa vyombo huwa najihisi faraja sana. Nasisimka akili mpaka moyo. Hajawahi kukosea kwa...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Huyu kijana Ni fire Sana, mashairi yake yana mvuto Sana, ye mwenyewe ana mvuto Sana, kifupi mziki unamnogea.... Hongera kwa kazi nzuri kijana. Ova
20 Reactions
167 Replies
9K Views
Ni muda sasa naona Lavalava hajulikani yupo wapi post zake za mda mrefu alionekana na mpenzi wake namzungu wake sasa naona post hizo nazo zimefutwa account yake inatumika kutangaza matangazo ya...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwanamuziki Desiigner ashtakiwa kwa kupiga nyeto ndani ya ndege
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Tarehe 25 Mwezi April ni kumbukizi ya Nabii Mkuu Mh Dokta GeorDavie kukumbuka siku yake ya kuzaliwa ambapo Maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walisherekea kwa pamoja huku wageni...
7 Reactions
81 Replies
8K Views
Back
Top Bottom