Mzuka wanajamvi!
Kuna fununu na umbea internet aliyekuwa mke wa zamani wa waziri mkuu wa Canada Gregoire Trudeau kuchepuka na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na actor muingereza mwenye asili ya...
Habari?
Ninaomba nichukue fursa hii kuwatangazia wale wote waliokua wanatafuta vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwa sasa vinapatikana tena.
Orodha ya vitabu hivyo ni kama ifuatavyo;
1. Kiguu na...
Kupitia account zake msanii wakazi amemlipua vikali msanii boss wa wasafi diamond..
NASIBU USIPOTOSHE WATU, KWA KUPINDISHA UKWELI NA KUONGEA UNAFIKI.
Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako...
Habari zenu wakuu,
Nimekua nikifwatilia muziki zaid ya miaka 20 ila toka nianze kusikiliza nyimbo za huyu jamaa juice WRLD nikwamba nimekua addicted na nyimbo zake nina nyimbo zake zaid ya 1000...
Madai Mapya ya Unyanyasaji wa 'Dancers' yaibuliwa dhidi ya Mwanamuziki Lizzo, (Melissa Viviane Jefferson) baada ya Watu 3 kufungua madai kama hayo Wiki iliyopita
Mawakili wanaowakilisha Wacheza...
Tory Lanez, Rapa wa Marekani mwenye asili ya Canada amehukumiwa kwenda Jela Miaka 10 baada ya kupatikana na hatia katika Makosa Matatu, yakihusiana na Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion mnamo...
Lavalava ni msanii mkali ila alikuwa anapokea negative comment kwamba ana gundu, hasapotiwi na Wasafi ila tunaojua mziki tuliona sio kweli eti ana gundu au hasapotiwi kwasababu pamoja na hayo...
Kuna muda unafika kwa Msanii mkubwa kutokuwa na jipya katika jamii hata utoe ngoma kali kiasi gani. Ndivyo ilivyo sasa kwa Diamond, hana jipya la kuwavutia mashabiki na wapenzi wa music, labda...
Kupitia Instagram akaunti yale, Rapa Wakazi ameandika
"Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako sio sahihi kuhusu soko la muziki la nje, na nashangaa wewe kujidai unahubiri unity na...
KUIGIZA FILAMU ZA NGONO NI KAZI NGUMU SANA
Muigizaji maarufu Mr John moja ya interview yake kubwa aliyowahi kufanya na muandishi wa habari wa india aliwahi kusema.
" Kuigiza filamu za ngono ni...
Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar es Salaam.
Mtanzania maarufu wa Kituo Cha Redio kongwe nchini Clouds FM Mwemba Burton almaarufu kama Mwijaku ametangazwa kuwa...
Awa ni watu walio kwenye muziki muda mrefu lakini kiuhalisia sio wasanii. Wanaupenda sana muziki lakini hawakuzaliwa kuwa wanamuziki.
1. Roma
Huyu jamaa ana kipaji chake ambacho uwa nikimsoma...
Katika wimbo wake wa (Mnyama) Alikiba ametumia mistari kazaa kumchana Diamond Platnumz
UCHAMBUZI WA MSITARI HUO
Unamjua simba mnyama? mnyama.
Sio yule wa insta mnyama... mnyama...
Huyo ni...
Mkali huyo wa 'Gods Plan' aliweka dau la Tsh. 621,617,182 kwa kumtabiria ushindi Bondia Nate Diaz ambaye amechezea kipigo katika raundi ya 5 ya mchezo uliokuwa na raundi 10.
Oktoba 2022...
Unajirusha mitandaoni maisha bora, kubadilisha magari makali, unaishi apartment kali, Bata kwa Sana! Kumbe sirini maisha feki, mke elimu Hana Zaid ya kuuza sura. Siku ya msiba mnaumbuka Mbele ya...
E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa.
Kwa wale...
Hello bosses and roses,
Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya.
Nimeona cover ya Roho (christian...
Aiseeee... sikujua kama huyu manzi ni wa kienyeji, hio shanga aliovaa hapo chini si kama hizi hizi za kina mwajuma na maimuna wa mbagala rangi tatu.
Mwamba curry itakua anaenjoy sana ile michezo...