Naanza na Ja Rule. Mwamba alitikisa miaka ile kwanzia mziki mpaka picha zake zilikuwa zinabandikwa sana kwenye magari.
Afu mwamba mwingine ni Nelly aliwaharibu sana vijana wa Kitanzania kila...
Baada ya kuachia wimbo wa "Mapozi" akishirikiana na Byser pamoja Jay Melody, staa wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul amerudisha maneno ya shukurani kwa Msanii Mr Blue "Byser".
Kupitia ukurasa...
Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
Maisha ya ustaa hutesa wengi sana, ila kwa kua ndio wamechagua ndio njia ya kupatia ridhiki hawana budi.
Kwa sasa waweza sema hadji manara ni vile amependa kuishi vile anachofanya, kwa hali ya...
MAREKANI: Rapa Mkongwe na Mfanyabiashara, Curtis Jackson a.k.a 50 Cent ameshtakiwa na Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Power 106, Bryhana Monegain, anayedai jeraha alilopata baada ya kupigwa na...
Kwnn nasema hvyo na kama ukibisha uwe na sabbu, diamond ndio msanii pekee ambaye anaweza kuimba style aina ya moja kweny mziki mfno bolingo, baikoko, hip-hop, normal bongo fleva, amapiano kwa...
Chorus Kali sana na melody imetulia ila amezingua kwenye mashairi ya kitoto hajayapangilia,nadhani hakua serious na hii ngoma,
angetuliza kichwa hii ngoma inebamba zaidi ya hapa sababu inaendana...
Kwa wale wapenzi wa reggae, hili swali huwa najiuliza lakini sipati jibu. Wakati anauawa alipigwa risasi tu wala hawakuchukua chochote. Walitumwa? Kuna miaka niliwahi sikia kwamba yeye ndio chanzo...
Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Hili ndio Gauni alilovaa Mchumba wa Manara lenye thamani ya Million 400.
Watu wa karibu na Zay wanasema material...
Huyu nguli wa michezo wa pale E-Fm Radio kila ifikapo weekend lazima awe London Uingereza. Kama Celeb tuna haki ya kudadavua hiyo mitoko!!
warumi una mpya gani hapa?
Asee salam
Jana kuna filamu (bongo Movie) nilikua naangalia sasa kuna scene moja ya gerezani
Asee kilichonishangaza nikuona et mfungwa kwanza kavaa hereni pia kaachia ndevu na nywele . Sasa...
Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya.
Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa...
KUTOKA KWA:MSANII JOTO LA MOTO.
Leo naishika peni,nilo nayo niyatoe.
Msidhani mi mgeni,maoni mnikosoe.
Ni mwenyeji kwenye fani,acheni yangu nitoe,
Sauti yake Dahuu,inanipa burudani.
Bi Husna...
Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it"
Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho...
According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania.
Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi...
Kinda wa Manchester united Daniel Gore, kazaliwa 2004 ila anapeleka moto balaa.
Garnacho ndio anaingia 20 years!
Je, Tanganyika wachezaji wanwaka wazi wanawake zao?[siyo wake].
Je, utamaduni wa...
Msanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu Joti, ameonyesha kufurahia kusua sua kwa Maandamano ya CHADEMA ambayo yanafanyika hii leo.
Joti kupitia mtandao wa "X" ameonyesha kucheka na...