Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hii dunia katika kila tasnia zimekuwa zikitengeneza ma star, hugawia kwa viwango, wengine huitwa ma Super Star wengine huitwa Mega Stars. Lakini tuunapokuja Kwa Shahrukh Khan tunashindwa kupata...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa Ferre Gola Le padre, aliyebarikiwa sauti nzuri na kipaji kikubwa cha kuimba mziki mzuri wa Rhumba kutoka DRC CONGO. Masaa 22 yaliyopita kutoka kwenye akaunti...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijui ni macho yangu tuu, ila naona mwanamuziki Peter Msechu amefanana sana na mbunge Tundu Antipas Lissu. Je wana undugu wowote?
9 Reactions
78 Replies
19K Views
Muonagor alifariki jana baada ya kupambana na ugonjwa wa figo kwa muda mrefu. Hii ilikuja siku chache baada ya video iliyosambaa ambapo aliiomba msaada wa kifedha kutoka kwa wanaijeria ili...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Huyu kijana anakuja kwa speed kama vile katupwa kutoka kwa juu Ana nyimbo zake hazichoshi ila naona hajapewa sana airtime me mpaka sasa hivi sijajua ni mtanzania au mkenya?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Sasa hio fashion si mzigo na mateso Kwa mkewe Bianca
20 Reactions
40 Replies
4K Views
RC Makonda ameandika kwenye Instagram yake akimwambia Zari kuwa ana uwezo mkubwa wa kupita kwenye dhoruba na akaendelea kubaki imara na kuendelea kupata heshima kutoka kwa familia yake. RC...
4 Reactions
182 Replies
23K Views
2024 naona ime Anza kwa Kasi, nao marioo na harmonize Waka amua kutoa nyimbo mpya. 👉 Hi ni collabo yao ya pili, Baada ya ile naogopa. Nyimbo hii Ina kwenda kwa jina la away, aisee ni Nyimbo Kali...
4 Reactions
108 Replies
26K Views
Hapo chini utaona listi ya watakaokufa mwaka 2017, Watu maarufu zaidi ya 50 wamechaguliwa na jopo la watabiri kuwa watakufa mwaka huu. Kuna sheria za kuchagua watu watakaokufa kama ifuatavyo...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Msanii yupi ni mkali wa Mashairi yenye ujumbe wa Kutetea Haki na Utawala Bora? Roma Mkatoliki Vs Nay wa Mitego
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Huu ni muonekano wa Kanye West na mkewe Bianca wakionekana wakielekea studio huko Marekani jana usiku. NB: Wamependeza hawajapendeza?
13 Reactions
33 Replies
4K Views
Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri. Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N. Chanzo cha...
31 Reactions
152 Replies
15K Views
1.Michael Jackson, 2.MC Hammar, 3.Usher Raymond, 4.Omarion, 5.Hrithik Roshan, 6.Chris Brown, 7.Jason Derulo, 8.Justine Timberlake, 9.Ne-Yo, 10.Bruno Mars. labda bonus man atakaa Justine Bieber.
1 Reactions
92 Replies
13K Views
Kesha has decided to move from Tennessee to California following her recent stint in rehab in a bid to make a fresh start. Kesha Kesha has moved to Los Angeles following her stint in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona kuna ukaribu fulani kati ya muigizaji na mjasiliamali ambaye ni mjane wa Sadick Juma Kilowoko (Sajuki) , Wastara Juma na huyu jamaa anayejihusisha na mambo ya kuweka sawa shape za kinadada...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Happy birthday bro. Miongoni mwa watu waliozaliwa mwezi March ni pamoja na Osama bin laden.
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Salam ndugu wanaMMU, Habari zimeenezwa kupitia vyombo vya habari kuwa Shilole azua utata baada ya kucheza utupu wakati anapiga show huko Ubelgiji, ndipo nikaona nije na habari hii kama sehemu ya...
1 Reactions
45 Replies
23K Views
Namsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa. Hapa sijamwelewa kwanini akubali tu mke...
8 Reactions
46 Replies
12K Views
Habari zenu. Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi. Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom