List ya waliotabiriwa kifo 2017: Malkia na Mugabe wapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

List ya waliotabiriwa kifo 2017: Malkia na Mugabe wapo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mlaleo, Jan 10, 2017.

 1. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Hapo chini utaona listi ya watakaokufa mwaka 2017, Watu maarufu zaidi ya 50 wamechaguliwa na jopo la watabiri kuwa watakufa mwaka huu. Kuna sheria za kuchagua watu watakaokufa kama ifuatavyo: Mtabiliwa kifo lazima awe maarufu kiasi ya kwamba huyo mtu akifa lazima vyombo vya habari vya uingereza vitamtangaza; na vigezo vingine kadhaa akionekana mgonjwa au ukimuona unajua huyu!

  Malkia Elizabeth II ameshatabiriwa mara moja akadunda huo Mwaka sasa hivi pia katabiriwa kuwa atadanja mwaka huu 2017.. mume wake Prince Philip nae Ametabiriwa 2017 pia.

  Raisi wa zamani wa Marekani Jimmy Carter mwenye Miaka 93

  Bwana Mugabe Miaka 93 naye Masikini wamemtabilia 2017 ndio the end - Kaandikwa Dictator alishatabiriwa mara 3 before

  Pia katika list hiyo Billionea Mwenye Familia tajiri kabisa Rockefeller mwenye miaka 102 nae amatabiriwa 2017 atakufa...

  Desmond Tutu naye pia Mubarak

  Lema huwa hasomi huku sijui kaotaje... bila kuwasiliana na wenye kuzimu...

  Katika list ya Mwaka 2016 Fidel Castro alikuwepo na Nusu walio orodheshwa walikufa na wengine ndio wamesogea mwaka huu kwa kukomaa huku Wanateseka.. inasikitisha Sana


  Below you will find DeathList 2017, a list of 50 celebrities selected by an expert committee for their likelihood to die during 2017. There are a few rules to DeathList summarised as follows: Candidates must be famous enough such that their death is expected to be reported by the UK media;Candidates cannot be famous solely for the fact they are likely to die in the near future and only 25 candidates can reappear from the previous year’s list. 2016 was billed as the year of the celebrity death by some and, although DeathList 2016 started strongly, it hit a very lean period from June to November and ended with a final score of 12, two below the all time record of 14. Has the big celebrity clear-out of 2016 made the task more challenging for 2017 or will the rate of celebrity deaths continue apace? Only time will tell...


  Rank
  Prev Year AppearName Age Description Discuss
  1 10 15 Kirk Douglas 101 Actor
  2 28 9 Vera Lynn 100 Singer
  3 6 11 Billy Graham 99 Evangelist
  4 18 3 Lord (Peter) Carrington 98 UK Politician
  5 15 5 Peter Sallis 96 Last of the Summer Winer
  6 16 5 Prince Philip Duke of Edinburgh 96 Casual rascist
  7 41 5 Denis Norden 95 Comic / TV Presenter
  8 3 Pierre Cardin 95 Fashion Designer
  9 37 4 Stan Lee 95 Marvel comics
  10 4 10 Olivia De Havilland 101 Actress
  11 7 6 Herman Wouk 102 Author
  12 1 Tony Booth 86 Actor
  13 20 5 Bob Dole 94 Politican
  14 1 Leah Bracknell 53 Actress
  15 23 2 Jimmy Carter 93 Ex US President
  16 1 Gord Downie 53 Tragically Hip Singer
  17 29 3 Leslie Phillips 93 Comedy Actor
  18 4 Robert Mugabe 93 Dictator
  19 8 4 Javier Perez de Cuellar 97 Ex UN Secretary General
  20 39 13 Jake Lamotta 96 Boxer
  21 1 King Michael of Romania 96 King of Romania
  22 1 Betty White 95 Golden Girl
  23 1 Nobby Stiles 75 Footballer
  24 2 Queen Elizabeth II 91 Queen
  25 1 Jill Gascoine 80 Actress
  26 1 Bob Barker 94 The Price is Right
  27 26 2 Doug Ellis 93 Ex-Aston Villa Chairman
  28 27 5 George Bush Senior 93 Former President of USA
  29 1 Honor Blackman 92 Actress
  30 1 Ian St John 79 Footballer
  31 1 Hugh Hefner 91 Playboy
  32 1 David Prowse 82 Darth Vader
  33 6 Jerry Lewis 91 Comedian
  34 1 David Rockefeller 102 Billionaire
  35 31 2 Sandy Gall 90 TV news reporter
  36 1 Pope Benedict XVI 90 Former Pope
  37 50 3 Bruce Forsyth 89 Entertainer
  38 32 9 Fats Domino 89 Singer
  39 4 Hosni Mubarak 89 Former Egyptian President
  40 34 3 Desmond Tutu 85 Archbishop
  41 1 Emperor Akihito 84 Japanese Emperor
  42 1 Gay Byrne 83 Broadcaster
  43 36 2 Glen Campbell 81 Country Singer
  44 1 Liz Dawn 78 Vera Duckworth
  45 49 2 John Noakes 83 Blue Peter Presenter
  46 3 Valerie Harper 78 Rhoda
  47 21 4 Joost van der Westhuizen 46 Rugby player
  48 13 2 Mary Tyler Moore 81 Actress
  49 1 Errol Christie 54 Boxer
  50 6 Ian Brady 79 All round Mr Nice Guy

  The DeathList 2017

  The DeathList 2016
   
 2. Madihani

  Madihani JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 30, 2015
  Messages: 4,147
  Likes Received: 2,620
  Trophy Points: 280
  Watu wamekula chumvi.
   
 3. Castr

  Castr JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 5, 2014
  Messages: 6,470
  Likes Received: 10,506
  Trophy Points: 280
  Huu siyo utabiri hii ni kutumia logic ya kuona kwakua umri umeenda basi huyu mtu hafiki mbali. Mugabe akifa huku wale mashoga wapo gerezani itakuaje?
   
 4. mlimilwa

  mlimilwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,119
  Trophy Points: 280
  mleta mada watabili wanafuata karenda ya jurias, karenda ya jurias mwaka unanza mwezi wa 3 kama sikosei, kwahiyo mwaka 2016 bado haujaisha kwa elimu ya unajimu.mimi nawaitaga illuminati.hii karenda ya sasa Gregorian haitumiki na watabili. hata vitabu vya kiimani yaan biblia na msahafu utaona wanatumia karenda ya jurias.
   
 5. Love Guru

  Love Guru JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 19, 2015
  Messages: 945
  Likes Received: 1,629
  Trophy Points: 180
  huyu alokua anatabiri hii kitu anaweza kuanza kudondoka yeye 2017 kabla yeyote kwenye hio list. nobody knows the time of death except for the almighty. huyu anaangalia wenye umri mkubwa sana ( 90+ years ) then anajua probabalities zitam-support.
   
 6. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Thank God!! Mzee Ruksa hayupo! Maana naona kama kigezo kikubwa kwao ni hiyo 90+
   
 7. Queen Kan

  Queen Kan JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 3,424
  Likes Received: 4,129
  Trophy Points: 280
  Waliotabiriwa wote umri ushaendaa
   
 8. b

  bestmale JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 6, 2015
  Messages: 1,134
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Wao wanaotabilia wengine vifo kwani wao ni wanani?? Lana za Allah ziwe ju yao hawajuwe wanacho kitenda adui hao
   
 9. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2017
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,265
  Likes Received: 4,238
  Trophy Points: 280
  Huu utabiri sio wa MUNGU
   
 10. Crocodiletooth

  Crocodiletooth JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 28, 2012
  Messages: 9,650
  Likes Received: 3,503
  Trophy Points: 280
  ***
  so we are in September at moment..!
   
 11. shushushu VIP

  shushushu VIP JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 24, 2016
  Messages: 4,511
  Likes Received: 3,730
  Trophy Points: 280
  Watakuwa wameshapata ujauzito
   
 12. mlimilwa

  mlimilwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,119
  Trophy Points: 280
  ndio!
   
 13. Castr

  Castr JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 5, 2014
  Messages: 6,470
  Likes Received: 10,506
  Trophy Points: 280
  Yeah hata mimi naona hivyo maana Mugabe ndiyo kawashikia uzazi.
   
 14. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,042
  Likes Received: 31,832
  Trophy Points: 280
  kuna mmoja hayupo
   
 15. G

  Guasa Amboni JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2017
  Joined: Aug 13, 2015
  Messages: 6,983
  Likes Received: 7,502
  Trophy Points: 280
  Wangetabiri na wenye miaka 20 mpaka 50 hapo ukiangalia unaona wamelenga umri kitu ambacho hata bila utabiri unaweza kugundua kuwa uzee ni nyumba ya maradhi mnaweza kushangaa vyuma vyote hivyo vikakomaa mpaka mwaka ujao
   
 16. shiu yang

  shiu yang JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 16, 2016
  Messages: 2,229
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Nani huyo!!??
  Magufuri au..!!??
   
 17. Shindu Namwaka

  Shindu Namwaka JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 22, 2014
  Messages: 4,689
  Likes Received: 2,832
  Trophy Points: 280
  Na Huyo Mtabiri Mwenyewe Anakufa Lini??
   
 18. Luvanga1

  Luvanga1 JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2017
  Joined: Jun 5, 2014
  Messages: 1,107
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Who are you mpka unatabir vifo vya wenzio ww je umejitabir utakufa lin?
   
 19. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Kuna Boxer ana Miaka 54 tu list namba 49
   
 20. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Ila Mungu alisema kila mmoja ataonja Mauti
   
Loading...