Peter Msechu kafanana na Tundu Lissu

Hata hawa wamefanana mno sijui ndo mambo ya 49%
unnamed (1).jpg
 
Sijui ni macho yangu tuu,ila naona mwanamuziki Peter Msechu amefanana sana na mbunge Tundu Antipus Lisu
Hala hala muungwana usije sababisha mitafaruku kwenye familia za watu maneno mazito hayo, japo kuna kufanana kweli ila wana maadui watu hawa wakiya beba hayo uta yasikia kwa Shigongo.
 
Mimi mbona nililionaga hilo siku nyingiii..nikasema duniani kweli wanne wanne
 
Kweli ukiwaangalia kwa mbali unaona wamefanana,lakini ni kweli duniani wawili wawili kabisa
 
Back
Top Bottom