Kwa wadau mnaofuatilia muvi za kibongo.
Huyu jamaa ni maarufu sana kwenye ulimwengu wa muvi za kibongo anaitwa Rey.
Nashangazwa na kitu kimoja tu.
Hivi hawezi kuigiza katika hali ya kawaida ya...
Wadau wa JF,
Napenda kufahamu ni nani anamiliki Maduka makubwa ya Mariedo hapa Mjini.Kuna mtu ameniambia ni Edward Amri,nikamwambia hapana mbona huyu ni Pastor na ana kanisa lake na huwa...
BIG UP BR KULA SHAFU HINT WANAKUJA SOON NTAKUNGANISHIA MUNGU AMUWACHI MJA WAKE SI KAMA WALE MA MAMC WANAMTUKUZA MUNGU HUKU WANAFANYA UFIRAUNI USIWE NAO HATA NA URAFIKI.,,,NDIO MAANA WANATIMULIWA...
Nicki Minaj alianza hivi:
Roman's Revenge Lyrics
I am not Jasmine, Im Aladdin
So far ahead, these bums
is laggin See me in that new thing,
bums is gaggin Im startin to feel like a...
Mimi napata kigugumizi juu ya mwenendo wa wasanii wetu,inakuwaje shindano linaanza watu wanajipanga kila siku wanacheza na jasho linawatoka,tena ukiangalia wengi wao ni maarufu sana TZ.
Inamaana...
ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tu. mtoto huyu wa miaka takribani 9 amekuwa selebu si kwa sababu ya baba yake will smith na mama yake jada pinkett; ambao pia ni maselebu.
ni kutokana na...
Leo ni siku ya ukimwi duniani na kama kijana ambaye pia niko katika kundi ambalo liko hatarini kwenye maambukizo ya gonjwa hili hatari, naona ni busara kugusia na kutoa hamasa kupitia jumbe...
Mzee Muhidini Maalim Gurumo ni mgonjwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Wodi ya Mwaisela,wodi No.5.Mzee Gurumo ni mmoja wa wakongwe wa Muziki alianza Muziki mwaka 1960 akiwa na Bendi...
Ndugu wana JF
Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma...
Wakuu,
Hivi ina maana SUGU na Ruge wa biff kubwa kiasi hiki!!!
Nimesikia album ya SUGU inayoitwa "anti-virus" na inayopatikana on-line bure ni balaa!! Maana SUGU anatukana live na kuelelza...