Russell Simons is DATING Flaviana Matata?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Russell Simmons is in a New Relationship With a Former Miss Tanzania


Flaviana+Matata+n+Russel+Simmons.bmp


Russell Simmons is now three months in his new relationship with former 2007 Miss Tanzania, Flaviana Matata. Although, the couple has been dating for three months they only have been public for the past week. Congratulations to the new couple, and hope this one lasts.


Flaviana+Matata+in+NY.bmp

Modo wa kimataifa wa Tanzania Flaviana Matata akiwa mjini New York na Russell Simmons na familia yake wakati wa shughuli maalum "Life Project for Afrika Benefit" iliyoandaliwa na Kimora Lee hivi karibuni.


Flaviana+Matata+1.jpg


Hongera Flavian kama ni kweli maana hapo umasikini bye bye maana Russel Simmons ni Hip Pop Mongual na Tycoon wa ukweli
 
Miss Tanzania wa mwaka 2007? mfukunyuzi hebu pekua makabrasha vizuri.....

huyu binti ni mrembo jamani na naona anaendelea vizuri

AY aliishia wapi kwani?
 
Mwandishi kachemka kwani flavian matata hajawahi kuwa miss tz
 
kaitoa kwenye blog ya umbea wa watu weusi huko marekani kaja katubandikia hapa kama yeye ndo aliyetuletea habari ile! ]

utasutwa baba ohooo................most probably it arent even true, maana bossip weekend hukosa cha kuandika ikajitungia tu habari
 
who is this lady?
mbona sina records zake kwenye server yangu?
 
Russell Simmons is in a New Relationship With a Former Miss Tanzania




Hongera Flavian kama ni kweli maana hapo umasikini bye bye maana Russel Simmons ni Hip Pop Mongual na Tycoon wa ukweli

Yaani wewe mfukunyuzi ina maana unamaanisha hapendwi mtu ila pochi ama ??
 
Back
Top Bottom