the "world's youngest king" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

the "world's youngest king"

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ngoshwe, Apr 19, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145


  The King of Toro, Oyo Nyimba Kabamba Iguru, the "world's youngest king" who turned 18 on 17th April 2010, succeeded to the throne at the age of three years when his father died of a heart attack in 1995. However, he could only be crowned upon reaching adulthood. Accordingly this happened on Saturday 17th April 2010 in a traditional ceremony in his hilltop palace overlooking his capital of Fort Portal.

  His symbolic authority covers the area known as the Mountains of the Moon, which straddles the borders of Uganda and the DR Congo. He currently rules more than two million people in the Toro kingdom.


  [​IMG]
  [​IMG]

  King Oyo and President Museveni during the festivities

  [​IMG]
  King Oyo arrives for the festivities

  [​IMG]

  His loyal subjects rejoice and celebrate
  [​IMG]
  Princess Bagaaya, his aunt dances in front of him


  [​IMG]


  One of the royal rites performed
  [​IMG]
  King Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV (R) and his mother Best Kemigisa (L) leave the royal palace in Fort Portal 270 km (162 miles) southwest of Ugandan capital Kampala, April 16, 2010.

  [​IMG] IN CONTROL: King Oyo listens to instructions from Ghana’s Queen Mama Agblatsu (R) during ceremony.


  When was still littlest King

  [​IMG]

  [​IMG]
  At the infant age of three-and-one half years old, King Oyo of Toro earned a place in the Guinness Book of World Records as the youngest reigning monarch
  [​IMG] [SIZE=-1]King Oyo with his mother, Lady Best K. Olimi, and his
  [SIZE=-1]Princess Royal, Nsemere Komuntale.[/SIZE]

  [​IMG] King Oyo with his uncle and guardian,
  Prince James Mugenyi.
  [​IMG] A relaxing moment: King Oyo playing
  with his puppy that was given to him by
  Mrs. Janet Museveni, wife of
  President Yoweri Museveni of Uganda.  [/SIZE]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  umh! kwangu huu ni upuuzi
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Sasa mambo nayo! Mmmh, dogo anaonekana yuko serious kweli kweli. hana mchezo na ufalme. ache wadumishe mila na desturi.
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  upuuzi na ujinga mtupu....................
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kwa waafrika ni ujinga na upuuzi kwa Waingereza, Denmark, Uholanzi, Norway, japan mnakokimbilia huko si wapuuzi?!!!!!!

  acha hizo mkuu. I wish ungekuwa mfalme wa kabila lako. tehe tehe heheheheee
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Huko kunawafaa wanaoutukuza uchifu wale wenzetu wa kilimanjaro,eh lakini mama yake bado ni kijana nani kamrithi,maake mke wa chifu lazimaa arithiwe bana
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Apr 19, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,882
  Trophy Points: 280
  Kaka na rangi yako nyesusi tii, unakataa mila zenu? utamaduni wenu na asili yako? kwa kukwepa hizo mila uko wapi sasa hivi? maana hata mila za kizungu zimekutapika! nchi kama za Nigeria zenye watu mil120 pamoja na kusoma kwao wameshikilia mila zao. That is what makes you somebody.

  umetumia kiswahili kuandika, watoto wako watagoma kabisa kutumia kiswahili watasema upuuzi! lets use English! we will then one day thinking of having Queens and Kings just like British!
   
 8. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hata huko ulikotaja nako ni upuuzi tu........... labda kwako ndo huoni kama ni upuuzi............. ufalme wa wanadamu ni upuuuzi tu na huu ni msimamo wa mwenyezi Mungu............. rejea jibu la Mungu kupitia nabii Samuel kwa taifa la israel lilipong'ang'ania kuwa na mfalme wao................

  mfalme wetu ni mmoja tu, ndiye Mungu.................

  kama Mungu ndiye mfalme wetu, basi mimi ni mwanamfalme tayari na mrithi wa ile ahadi kwa njia ya imani.............
   
 9. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kaka nilisoma vizuri sana hata wimbo wa Okol na wimbo wa Lawino, hitimisho langu lilikuwa chukua uzuri wa mila za kiafrika na zile za kigeni ndo utapata kitu kizuri. Si mila za kizungu wala za kiafrika zilizo perfect.

  Yanayotokea Zimbabwe, Niger nk yanatokana na mila za kipuuzi kama hizi. Eti kuna mtu amezaliwa kuwa kiongozi daima na mwingine amezaliwa kuwa mtawaliwa daima. Yaani hata huyu kiongozi/mtawala akiwa na miaka 3 anapewa madaraka. Siwezi hata kidogo kukubaliana na kitu kama hiki. Namuunga mkoni Mwl. J.k.Nyerere kwa kufuta na kupiga marufuku mambo ya ajabu ajabu haya.

  Lazima tusimame katika misingi ya haki sawa kwa wote, binadamu wote ni sawa. Kila mtu anayohaki ya kuwa kiongozi katika jamii yake na tena siyo kuwa kiongozi kwa kujipachika au kupachikwa na watu fulani wachache bali majority. Binafsi huwa nawashangaa waingereza, waholanzi, wajapan nk siku zote na huo upuuzi wao wa Kingship.

  Nitatetea demokrasia na ujamaa siku zote.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo kwa hiyo..... nimeshindwa niulize swali gani..
  mshangao mtupu
   
Loading...