Issac Gamba na vituko vyake vya utangazaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Issac Gamba na vituko vyake vya utangazaji

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mzizi wa Mbuyu, Apr 1, 2010.

 1. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Mtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni staili tu au ni kigugumizi!? ukimsikiliza kwa harakaharaka wakati mwingine unaweza umwelewe tofauti.
  Mfano wa maneno ambayo nimemsikia akiweka pozi na kuchanganya habari ni kama ifuatavyo.....,
  ...Uhusiano kati ya Uchi.....na Taiwan
  ...Kazi hiyo ya kuku...................sanya maoni ...
  ...Mamlaka ya usafi....................riwa anga...
  ...Ulaji wa mbo....................gamboga kwa afya...
  ...Rais Kikwete alifua............tana na waziri mkuu..
  ...Mpambano kati ya Mbwa...............na Matumla
  ...Raisi Kikwete na uongo...........ziwake
  Ajitahidi kujirekebisha bwana...
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hahahah hii kali!! ahahaha mpambano kati ya mbwa na matumla! Hahahaha ya mheshimiwa raisi na uongo nayo kali :D
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ah ah ah
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mi nadhani ni ana kigugumizi sio mapozi bana!
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Aisee kama ni hivyo kweli inaweza kuleta maana isiyokusudiwa:)!
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  hii kali itabidi nifanye uchunguzi sijawahi kuishitukia
   
 7. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ah..ah...ah.!

  atajirekebishaje kama ana kigu....gumizi!

  Labda kama hujafuatilia mswano, most ya hawa watangazaji wa Runingani na kwa Radios huwa sauti au staili wanayotumia wakiwa kazini ni tofauti na wakiwa mtaani. Wengi wao huwa wanakuwa kama wanaigiza sauti za ma- role models wao. Kwa mfano huyo Gamba ukimwangalia uzuri anapoongea huwa kama anauma maneno, sauti yake pia inafanana kwa mbali ya Godwin Gondwe.. au Abdallah Lihongo .Jinsi anavyo vunja vuja midomo Gamba na Juma Mkamia vile vile pamoja na Dogo Mmoja yupo TBC1 anatangaza sana Masula ya michezo anaitwa Enock Bwigane.

  ...Wako wale wanaotangaza mipira kama akina Mkamia na baadhi ya hawa wanaochipukia katia FM radios, ukiwafutilia uzuri unaweza kukumbuka sauti na pengine staili ya matamshi na utangazaji wao hazitofautiani sana na watangazaji wa zamani kama akina Braza Mick (Mikidadi) Ahmedi Jongo, Charles Hilary nk...

  ....Pengine unadhani shida kwenye inakuwa kwenye hivyo vyuo wanavyojifunzia, mazingira ya kazi na wale wanaowaelekeza kazi, upeo wa ubunifu au radha ya sauti ambayo wasikilizaji wao wanadhani wanaipenda kusikiliza masikioni.. na hii inaenda kutengeneza mazoea.
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Kuna yule wa Clouds na TBC 1 katika uchambuzi wa Michezo Shafii Dauda... Mpaka anapendeza na Kigu...gumizi chake huwa mimi napenda kumsikiliza/mwangalia akiongea kutokana na kigu...gumizi chake...
   
 9. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Kile kigugumizi jamani siyo hiari yake
   
 10. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Tom Chilalala haaaaaa???

  Sauda Mwilima STAR TV???

  May God!

  Ebu sikiliza vizuri pia hao watangazaji wa kike ndo balaa kwa staili...Jane John= Halima Mchuka
  Hapo wa FM Radio ndo ahaaaaaa...hakuna mwenye sauti ya asili.
   
 11. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #11
  Apr 1, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Namfahamu Isaack Gamba vizuri na ni mtu wangu wa karibu hiki kigugumizi kimekuja siku hizi tu naona ni katika mbwembwe na madoido baada ya hali ya kimaisha kuwbadilika na kuwa bora zaidi kuliko hapo nyuma.Hicho kigugumizi kakitengeneza tengeneza tu siku za karibuni.
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kama ndivyo hivyo hakupaswa kuwa mtangazaji
   
 13. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mimi nafikiri ana kigugumizi lakini anajitahidi kisionekane.
   
 14. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280

  Ndo maana yake
   
 15. edwinito

  edwinito JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hana lolote, amezidisha mbwembwe huyo!
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kuna yule dada anaitwa Rachel Udoba....huwa akitangaza habari mawazo yake yanakuwa hayapo pale...anakuwa na mawazo yake mengine,anakufanya msikilizaji usubiri kusikiliza anataka kusema nini....very boring
   
 17. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wanpangiwa sauti na boss wao:D
   
 18. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Sauda Mwilima Utafurahi/Utacheka
   
 19. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
   
 20. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Yaani ndugu yangu watangazajii wengine! unaweza kushangaa ukafa! sijui wanapataje kazi!
   
Loading...