Exclusive Interview na AY Mzee wa Commercial

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Dec 12, 2007
1,117
4,764
Fuatilia mahojiano mengine exclusive kutoka kwa mmoja wa Watanzania wanaotuwakilisha vema kimataifa.Huyo si mwingine bali Mzee wa Commercial (Ambwene Yesaya) au AY kama anavyofahamika na wengi.Kama ilivyokuwa katika mahojiano ya Mwana FA,interview hii itapatikana pia katika sura ya Kiingereza (English version).Katika mahojiano haya AY anaeleza alivyoingia kwenye fani ya bongoflava,kuteuliwa /ushindi kwenye tuzo mbalimbali (ikiwa ni pamoja na hii ya hivi karibuni ya Teneez nchini Kenya) na maendeleo ya kampuni yake ya muziki ya Unity Entertainment.Mahojiano hayo yanapatikana hapa http://chahali.blogspot.com/2010/04/exclusive-interview-na-mzee-wa.html

Karibuni sana
 
Back
Top Bottom