Aisha madinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aisha madinda

Discussion in 'Celebrities Forum' started by JAMIETZN, May 2, 2010.

 1. JAMIETZN

  JAMIETZN Member

  #1
  May 2, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salamuni !!

  Ndg. Kichwa cha habari cha husika.

  Kutokana na kutokupata news za Tanzania kwa wakati nimejikuta nikifungua Link moja ya Asha Baraka akifanyiwa mahojiano kuhusiana na uboreshaji wa Bendi ya Twanga Pepeta ndani ya you tube. Hongera Asha Baraka kwa hilo.

  Kilichoni fanya kulitaja Jina la Aisha Madinda ni kile nilichokisikia katika mahojiano hayo japo kwa ufupi kuhusiana na AISHA MADINDA kufanyiwa unyama na mwanaume. Je mwenye habari kamili kuhusiana na hili anaweza kunijuza ni kitu gani mbaya kafanyiwa mnenguaji wetu mahiri wa Twanga pepeta?

  Na je mwana ume huyo amechukuliwa hatua gani za kisheria kwa kitendo hicho kama hakiendani na maadali ya Kitanzania?

  Busara itumika katika kujibu na kuchangia hoja zenye kuwahusu ma cerebrity wetu.
   
Loading...