Kijana kapata ajali maeneo ya mikumi morogoro, alipokuwa anatoka mbeya,kwenye shoo!forsure cjajua kaumia kiasi gan!ila ma info 2takuwa 2napeana humu,MUNGU AMPE NGUVU.
Jaffarai Jaffarhymes
Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi ukataka...
Huyu alleged Drug Kingpin aliposhikwa Dar nilijiluliza maswali mengi!!!
1.Alipataje passport ya Tanzania?
Je hakuna hata afisa uhamiaji aliyewajibika?
2.UWT ,i am sure mnasoma hii blog,mnafanya...
Ms. Zamaradi Interviews Wema Sepetu, Talks About Her Relationship With Diamond...watch it
http://m.youtube.com/watch?gl=US&hl=en&client=mv-google&v=rpmkFtzZTu8
Leo Asubuhi ktk Clouds FM kipindi chao cha power breakfast..Gerarld anamwambia Pj..umeona ile cd ya xx ya South Africa kuhusu yule kijana wetu yule..Pj kamwambia bado halafu Gerald kamjibu kama...
Jamani mshaiona hii movie ya CHUMO inapigiwa promo sana these days?? KWa ufupi hii movie(nimeipendea mazingira yake ya uigizaji) inaongelea wavuvi wawili( Masharobaro) wakimgombania dada mmoja( )...
Jaffarai amemlipua Sugu baada ya kauli yake ya kukataa kufanyika Fiesta mkoani mwake sasa jaffarai amjibu na kumwambia si kweli kwamba wakazi wa Mbeya hawaitaki yeye mwenyewe alisoma Mbeya na...
Umbea umeenea kwamba Selena Gomez an MIMBA ya Justin Bierber! Is it true? Let's see:
Juzi Selena Gomez alipelekwa hospitali huku anatapika......Endelea E.A COMBINED: Selena Gomez carrying Justin...