Jaffarai afunguka kuhusu fiesta mbeya kama bifu yeye na sugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaffarai afunguka kuhusu fiesta mbeya kama bifu yeye na sugu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Hassbaby, Jun 21, 2011.

 1. H

  Hassbaby Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hii kitu sasa ipo serious wadau maana Sugu kaanza sasa Jaffarai anamalizia
   
 2. k

  kibenya JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  iweke wazi basi mdau
   
 3. H

  Hassbaby Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Amepingana na kauli ya kukataa Fiesta isifanyike Mbeya sasa ni Beef mwanzo mwisho bado wana kisasi cha demu wao Shy Rose Banj Fungua www.hassbaby.blogspot.com au kurasa yake ya Facebook
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kani Jafarai ndio msemaji wa tanzania?
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  No Sugu ndio msemaji wa Tanzania.
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  twashukuru kwa thread ila naomba uwe unapakua vyote hapa na sio kutuwekea link ya kwenda kwenye blog yako mkuu...
  wenzio kwenye blog wanaweka na hapa wanashusha habari yote.
  ni ombi tu
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mmmmh.
  Haya mambo yoooote hayana TIJA!!!!!!!
  LET THEM FIGHTS 4 THEIR OWNS MITUMBO
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Promo.......and advertisement
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  JF itaishia kujaa links tupu..na heading za habari.
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,103
  Likes Received: 6,567
  Trophy Points: 280
  Japo ni shabiki wa mr 2 sugu, ila hapa kakurupuka, kama siyo muziki hata yeye asingejulikana.
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kila mtu ana blog nani atasoma ya mwenzie ????matokeo yake ndio haya.....jf ni chanzo kizuri cha habari.....wao walete habari zao HAPA
   
 12. j

  jumanne kabwela Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sugu amechemka kutoa kauli kama ile kwani chuki zake juu ya clouds hazitakiwi kuathiri burudani ya wananchi
   
 13. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Hiyo hapo taarifa:-

  Mkali wa Bongo Jaffarai Jaffarhymes Mshamu amemlipua na kufunguka kwa Mbunge wa Mbeya Mh. Joseph Mbilinyi Mr. II Sugu hivi

  Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa mby ili kuzuia FIESTA, nawajua wakazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata cku 1.. Lete hoja za msingi bungeni km wenzako wakina Zitto cyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki!!![/h]Maneno hayo aliyaandika kupitia kurasa yake ya Facebook ambayo Mastaa wengi huwa wanaitumia kufikisha ujumbe ikiwemo na kuchat kwa saaana.

  Source: Hassbaby Blog
   
 14. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Hapa I think Jaffarai amejibu emotionally zaidi...!!!
   
 15. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,140
  Likes Received: 3,329
  Trophy Points: 280
  Weka mambo hadharani mkuu,..hatuitaji kwenda sehemu nyingine.
   
 16. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,107
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  wetuu wehuu tu!!sugu ana bifuuu na kina kusagaa,then jafari ana beef na sugu..wachapanee tuone nanii bingwaaa
   
 17. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Ahhhhhh kwani chadema huwa wanakurupuka?usitake kutuchokoza pipooooooozzzzzzzzzzzzzzz muoneni huyu!
   
 18. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,254
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  pawaaaaaaaa
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Jafarai kanyanganywa demu na SUGU demu mwenyewe ni Shyrose Banji, je na wewe mwenzetu SUGU kakukojolea demu wako?
   
 20. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  jafarai anajaribu kutuliza machungu yake,achA SUGU AWAPE MAMBO HAO WAFU WA APO MJENGONI
   
Loading...