Bongo Movie ya (CHUMO)

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Jamani mshaiona hii movie ya CHUMO inapigiwa promo sana these days?? KWa ufupi hii movie(nimeipendea mazingira yake ya uigizaji) inaongelea wavuvi wawili( Masharobaro) wakimgombania dada mmoja( ) kimapenzi, ingawa mmoja tayari alikuwa mpenzi wake. Sasa angala scene ya hii movie, inahusu mapenzi kati ya watu wawili wanaogombea mwanamke...lakini mwisho wa hii movie tunaona ugonjwa wa malaria ndio umebeba ujumbe nzima wa movi....yaani ni so cheap-low budget movie...dakika 55 inaongelea mapenzi na hatujui waliishia wapi wale wavuvi...dakika 5 za mwisho eti inajadiliwa ugonjwa wa Malaria...dah..
 
mi mwenyewe nilifikiri ni nzur kumbe ni utumbo wa hao masharobaro bas nimehairisha kuinunua maana promo yake ilinihamasisha
 
Ni kweli kabisa, film ile haiko balanced. Wakifanya evaluation kidogo wakawaonyesha watu ile film bila kuwaambia ujumbe uliokusudiwa na producers, ni wachache ambao watasema ujumbe ni malaria.
 
Ni kweli kabisa, film ile haiko balanced. Wakifanya evaluation kidogo wakawaonyesha watu ile film bila kuwaambia ujumbe uliokusudiwa na producers, ni wachache ambao watasema ujumbe ni malaria.
Listen guys chumo film ina ujumbe tofauti na mnavyofikiri,hiyo movie inaonyesha jinsi ambavyo mtu unavyoweza kustruggle kiuchumi,kijamii na hata kibiashara lakini hatma yake ukavurugiwa na kitu kidogo kama MALARIA kimsingi inatueleza athari za malaria.
 
Dah mkuu sio kiivyo, yaani kama ujumbe ni malaria ndio masaa yote tuone malaviduvi na mastruggle then baaadae mwishoni eti malaria ndio ujumbe mkubwa wa malaria,tena ni dakika chache za mwisho...kwanini isiwe malaria mwanzo mwisho??
 
Sizinga hapa madirector wamechagua sura ya ujumbe watumie mapenzi kwa sababu wengi wangeupata kwa urahisi hasa pale bwana mkubwa alipopotelewa na mtoto baada ya kipenzi chake mimba kutoka. Kumbuka ingeweza kutengenezwa kwa sura ya kazini ikaonyesha jinsi kijana anavyoanza kazi na maisha kuanza kumkubali then akafariki ni kwa jinsi hii waandaaji walivyoweza kuchagua upande wa mapenzi ili kurahisisha ujumbe wake!
 
Back
Top Bottom