JAFFARAI AMLIPUA SUGU KUHUSU FIESTA MBEYA (www.hassbaby.blogspot.com) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JAFFARAI AMLIPUA SUGU KUHUSU FIESTA MBEYA (www.hassbaby.blogspot.com)

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Hassbaby, Jun 21, 2011.

 1. H

  Hassbaby Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jaffarai amemlipua Sugu baada ya kauli yake ya kukataa kufanyika Fiesta mkoani mwake sasa jaffarai amjibu na kumwambia si kweli kwamba wakazi wa Mbeya hawaitaki yeye mwenyewe alisoma Mbeya na kitovu cha Hip Hop kipo Mbeya, funguka zaidi www.hassbaby.blogspot.com
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  waacheni hao wana-bifu la demu
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  mkuu tupakulie hapa habari yote kwani ukiweka link ya blog yako inakuwa kama twazunguka sana...imagine kila mtu atupie link hapa.mwishoe JF itakuwa full links.
  hata kama waipigia promo blog yako...weka habari na pale chini onesha source...kama ya ukweli watu wataipenda tu.
  ni mtazamo tu
   
 4. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Jaffarai hana shukrani, alipaswa kumshukuru Sugu kwa kumkomboa kutoka katika utumwa wa yule Bibi Shyrose. Imagine Jafarai angeachwa na Shy wakati kaishafikia umri wa kustaafu muziki ingekuwaje? Pale kwa Shyrose aliondoka na begi la nguo tu, lakini saizi atakuwa ameishaanza kujifunza maisha, nimeona katoa video nzuri tu, akipata vihela atahama kwa mama yake mzazi apange chumba/nyumba then anaanza maisha binafsi. Amshukuru Sugu kwa hilo. Pili amshukuru Sugu kwani anataka kuwatoa tongotongo wanamuziki wa bongo dhidi ya unyonyaji wa Clouds, sasa kama yeye amenyonywa na Shy miaka 10 na anataka aendelee kunyonywa na hawa matapeli wa clouds shauri yake ila Sugu kaishatoka saizi sio mshindani wake tena, yeye ashindane na akina Ngwea, J Mo, Juma Nature nk
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Sijui imekuwaje hili swala limehusishwa na Shyrose!!
   
Loading...