Violeti mzendakaya akimbia mjadala kisa kiingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Violeti mzendakaya akimbia mjadala kisa kiingereza

Discussion in 'Celebrities Forum' started by never, Jun 19, 2011.

 1. n

  never JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  [h=6]JAMANI HEBU NIJUZENI KWANI POSHO ZINA KIZUNGUMKUTI GANI HUKO DOM?????????gud sunday[/h]29 minutes ago*·*Like*·*
  • Yassin Aboubakar,*Violet Mzindakaya*and*Berinka Bella*like this.
   • [​IMG]


    Sanga Festo*Mtafute zito kwenye wall yake ameanalyize vizur.24 minutes ago*·*Like
   • [​IMG]


    Sanga Festo*Shemu mi c u23 minutes ago*·*Like
   • [​IMG]


    Violet Mzindakaya*mic u too shemu wangu...poa ngoja nicheki23 minutes ago*·*Like
   • [​IMG]Henry Kilewo*unajifanya hujui? we sikada? muulize pinda akusomee kwenye katiba kifungu kwa kifungu...... aisee kwishinee, tuliwaambia hamna uchungu na taifa hili mkaleta ukada ukweli umejieleza juzi...22 minutes ago*·*Like
   • [​IMG]


    Violet Mzindakaya*we henry kaka tuheshimiane kuwa kada siyo ndo kujua kila kitu minimeuliza kama ningekuwa najua ningeuliza?????au una hamu tu yakuiharibu jumap[ili yako kupitia kwangu????/kama huwezi kunambia jichenge siyo lazma we vp???/21 minutes ago*·*Like
   • [​IMG]


    Chacha Mathew*Yaps, check na Zito ndo mwanzilishi wa hili sekeseke, hawa wengine watakuzingua 2 ccta V.19 minutes ago*·*Like
   • [​IMG]Henry Kilewo*popote pale nionapo neno la kada lazima ni mnyookee coz ur klng dic country...18 minutes ago*·*Like*·**1 person
   • [​IMG]


    Violet Mzindakaya*mi zitto siyo rafiki yangu kwenye fcb......nyi niambieni tu,,kwani si mnajua??????18 minutes ago*·*Like
   • [​IMG]


    Violet Mzindakaya*sasa kaka wanyokee hao hao kwangu tutanyookana,,,,,,,,na hulazimishwi ku comment kwangu na mimi ni KADA,,,,,,,sasa fanya unalotaka.........17 minutes ago*·*Like*·**1 person
   • [​IMG]


    Yassin Aboubakar*Gwand boy unaongea nini wewe ?@ Henry Kileo17 minutes ago*·*Like*·**1 person
    [*][​IMG]


    Violet Mzindakaya*‎@henry kilewo.....,,,,muulize wewe yassin mana naona kitui cha......tayari sa hizi anataka kumalizia kwangu heshima kuheshimianan bwana....15 minutes ago*·*Like
    [*][​IMG]


    Violet Mzindakaya*umemaliza@henry kunyooka na mimi????13 minutes ago*·*Like
    [*][​IMG]


    Sanga Festo*Zito amesewa waziri mkuu inatakiwa ajiuzulu ama Afukuzwe kazi.Nikutokana na kusaliti maamuzi ya mapema kabla ya bunge kuwa Posho za wabunge zielekezwe kwenye Mfuko wa maendeleo wa miaka mitano(nadhani unajua mpango huo).Kwa kuwa amekiuka makubaliano anastahili kufukuzwa au Ajiuzulu mtoto wa mkulima.Ni hayo shemeji yangu.(plz acha kuharibu siku yako).12 minutes ago*·*Like
    [*][​IMG]Henry Kilewo*‎Violet Mzindakaya:ninachotaka tayari nishakifanya kukufikishia ujumbe yakuwa nyie makada mnaua hii nchi na hamtakaa mpate na nafasi hiyo tena.... na jibu nilikupa muulize PINDA na wewe YASSIN umefufukia wapi chalii yangu? mimi nipo bongo kwasasa natarajia kuondoka mwezi ujao11 minutes ago*·*Like
    [*][​IMG]


    Hassan Haruna*sister usiwe mkali hizo ni changamoto@Violet Mzindakaya10 minutes ago*·*Like
    [*][​IMG]


    Violet Mzindakaya*nakushukuru sana kwa ujumbe wako.........jipe moyo10 minutes ago*·*Like
    [*][​IMG]


    Yassin Aboubakar*hahahaha kijana niko njiani naja kuangalia unavyo sema wameharibu niko Klein kwa sasa Gwanda boy @ Henry Kileo ni aje Building ? hahaha8 minutes ago*·*Like
    [*][​IMG]


    Violet Mzindakaya*wala misina ukali kaka hasan,,,,,sema minimeuliza nieleweshwe naanza kuambiwa muulize Pinda si kashfa hiyo mi pinda namtoa wapi kumuuliza nimefanya makosa kuwauliza nyinyi marafiki mniambie.......................tatizo hatupendi kuelewa huyu anataka kufahamu nini????/we kada ndo jibu hilo????minikada kweli kwani nimeandika kwenye status yangu mininani?????CHANGAMOTO ziwe akili siyo matope na chuki binafsi7 minutes ago*·*Like
    [*][​IMG]Henry Kilewo*‎Violet Mzindakaya:The way for a young man to rise is to improve himself in every way he can, never suspecting that anybody wishes to hinder him.*
    There is another old poet whose name I do not now remember who said, "Truth is the daughter of Time."6 minutes ago*·*Like*·**1 person
    [*][​IMG]


    Violet Mzindakaya*sijui kiingereza andika lugha yetu ya taifat*Henry4 minutes ago*·*Like
    [*][​IMG]


    Yassin Aboubakar*hahahaha unasikia kada hajui kingereza @ Henry kilewo , Kama vipi mpige kwa kiswahili gwanda2 minutes ago*·*Like
   • [​IMG]Henry Kilewo*brother...longtime tumekuwa tukisafa katika taifa hili so unapokutana na watu kama hawa lazima tuwaambie hii ni nyeusi na siyo nyeupe
   
 2. R

  Red one Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwani wewe ulikuwa huwajui makada? ila bora umemwambia maana huyu anajifanyaga kuwa amekunywa maji ya bendera, endeleeni kuwapiga kwenye majukwaa mbalimbali mpaka waukubali ukweli
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Facebook bwana akili zao mbovu kweli lakini kwaa hili wacha wamweleze . HIvi Mzindakaya huwa haji hapa JF ? Si ajaribu kutia mguu ? Hapa ndiyo wako watu wenye majibu Facebook wengi vijana .
   
 4. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  lol kilewo ni noma ukipita huku naomba unijibu kati ya wewe na kada nani aliomba kupinga urafiki ? Duh manake urafiki wenu hadi raha mnapeana ya usoni hadi kada kaona vimulimuli
   
 5. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Unfair: huwezi kuwa Makerere University ukawa hujui English wale sio kama sisi wababaishaji!

  Willie @ NYC, USA.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  so????....who brought ubabaishaj
   
 7. n

  never JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ila alichofanya KILEWO ni sahihi, kwenye mambo ya msingi ya taifa urafiki unaweka pembeni unaingia mzigoni then hayo mengine yatafuata baadae, *big up vijana wa CDM
   
 8. s

  solution JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kulingana na hayo maadishi ..... huwezi kuja na kicha hicho cha ha habari!!
   
 9. n

  never JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sasa sikasema mwenyewe? mbona unamjibia? yaani nyie watoto wa magamba mnataka kutuambia mnajua kila kitu, siyo vyote ving'aavyo ni dhahabu... mmeshikwa kila mahala, si FCB,JF,TWITTER na bungeni na kwenye majukwaa ya kisiasa
   
 10. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Bro sio wote wanaosoma Uganda wapo MAKERERE, huyu binti anasoma KIU ( Kampala International University)
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Kilewo ni kabila gani tena?
   
 12. n

  never JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tafuta habari yako uitafutii kichwa cha habari
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  vailet ni mbabaishaji 100%

  she is a failure everywhere except in politics za cmm where majority of members are failures elsewhere
   
 14. n

  never JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  changia hoja kama huna la kusema sepa, hatupo hapa kwakujaji watu makabila yao na dini zao....
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huko Uganda anafanya nin sasa? Masikin!
   
 16. n

  never JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wenye kumfahamu KILEWO wamuambie aingie humu ndani watoto wa magamba wanataka kugeuza mjadala kuwa wa kikabila
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Kabila la mtu linachangia kwenye mawazo yake, be informed.
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mapenzi kwenda mbele¬!
   
 19. n

  never JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mimi sifahamu kabila lake ila nafahamu kuwa ni kiongozi wa CDM, haya mwenye kabila lake atuambie
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mbona huyu hamna tofauti nae? we nae kingereza si kile cha zee zee!
   
Loading...