Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nipo nyumbani hapa naangalia mtandao x naambiwa kuna mtu kapigwa kauziwa barafu jangwani ?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kumuona mtoto wa kiume kavaa nguo ya kike. Hii imekaaje kwa wasanii wetu wa kiume?
8 Reactions
85 Replies
7K Views
Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hakuna upinzani Fredrick Bundala(SKYWALKER) uwezo wako wakufanya kipindi cha mahojiano kivutie ni next level bila ya kujali unamhoji Star au Normal person. Kuna mtangazaji kupitia channel yake...
2 Reactions
8 Replies
775 Views
1. Mark Zukerberg ndiye mmiliki wa mitandao ya Facebook, Whatsapp na Instagram, 2. Ana umri wa miaka 31, alivumbua mtandao wa facebook akiwa na miaka 20 tu. Baadae akaamua kuununua mtandao wa...
37 Reactions
83 Replies
26K Views
Mtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna...
89 Reactions
240 Replies
23K Views
unaambiwa alijitahidi kuivua hiyo miwani taratibu ili kuepusha watu wasife 😂
13 Reactions
92 Replies
4K Views
Mtangazi wa Clous FM hapo siku ya jana alinusurika kuawawa maeneo ya Mwananyamala hapo majuzi nusura auwawe na bastola na jamaa mmoja Chanzo cha habari kinasema kuwa wakati akiwa kwenye gari...
5 Reactions
64 Replies
16K Views
Habari! Wajuzi, aisee nimeumiza kichwa mno ili niifahamu code hasa ya wimbo ule wa mtabe Young D. Miongoni mwa maneno ya wimbo huo ni, '...she is beautiful, siyo mchoyo...' Nani ameimbiwa? Ni...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Juzi juzi mbunge kijana Mohammed Dewji alikuja hapa na article yake juu ya mambo ya umeme. article hiyo inamuonyesha yeye kama amefanya uchunguzi yakinifu kuhusu hili swala la umeme. article hiyo...
1 Reactions
109 Replies
15K Views
yule dada mpambanaji alimaarufu Joyce kiria ambaye kwasasa ameolewa na kupata mtoto wa kiume. Anatarajiwa kurudi na ujio tofauti kabisa kwenye luninga moja wapo za bongo ukiachilia mbali vipindi...
1 Reactions
98 Replies
11K Views
Khadija Omar Abdallah Kopa (amezaliwa Zanzibar, 1963) ni mwimbaji wa muziki wa Taarab na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania. Mbali ya muziki, Kopa ni mama wa nyumbani, mfanyabiashara na pia...
10 Reactions
37 Replies
8K Views
........
4 Reactions
116 Replies
33K Views
1. Hizi safari kila mara kwenye nchi zenye historia ya Sembe imekaaje? 2. Kwa biashara ipi? 3. Mnasifia wanaume wenzenu Hadi sio. NB: Tunatahadharisha tu
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndio sekta inayotoa mabilionea wengi hasa vijana lakini naona kwa hapa bongo ni kama hawapo kabisa, gadi sasa kuna mabilionea walewale wa maduka ya hardware, makampuni ya utalii, mahoteli, madini...
2 Reactions
15 Replies
884 Views
Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani. Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Tungefanyiwa sisi tungepiga kelele ubaguzi. Hivi si vichekesho, ni kumock culture ya watu. Ustaarabu muhimu.
9 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii nyimbo ya Young D ft..Jux inaitwa siyo mchoyo.Mbona dizaini kama kamuimba shilole?
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Back
Top Bottom