Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Bi.Kidude ni gwiji wa muziki katika Bara la Afrika. Jina lake halisi ni Fatuma binti Baraka. Bi Kidude ni msanii mkongwe na mahiri sana katika fani ya muziki wa mwambao ambao hujulikana kwa jina...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kumekuwa na kushutumiana kunakoshika kasi kwa wasanii wa Bongofleva kuhusu ishu za ushirikina,ambapo wasanii mbalimbali wanatoa shutuma kwa wasanii wenzao kwamba wanawaloga na kuwaibia bahati zao...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Ee bwana eeeee! Hilo ni bonge la ubunifu usipime babakee. Hapo nakupa tano kwa mara ya kwanza. Mwanzo mwisho mpelampelaaaaaaa! Umetishajee mamake.
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Jamani naomba ushauri napenda sana kuwa superstar sema shida ni kwamba sina kipaji chochote afu pia siasa sipendi.naomba ushauri kama kuna njia nyingine za kuwa star ukiachana na hizo
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
mara nying nlikua nazckilza nymbo za SUGU za kwenye album yake ya mwisho itwayo VETO juujuu,nldhan amefulia kmashair kama prof.jay lakin leo nimeicklza vzur sana kumbe jamaa bdo kchwa kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
huyu ndiye Twite mchezaji wa Yanga aliyetua leo Uwanja wa ndege, mchezaji huyu Mcongo aliyekuwa akiichezea APR ya Rwanda pia alikuwa akiwaniwa na Simba.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Zanzibar — ZANZIBAR First Vice President Seif Sharif Hamad, on Saturday, visited to comfort the prestigious WOMEX award winner Fatuma binti Baraka (aka Bi Kidude), who has been sick for several...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Jana niliangalia kipindi cha mkasi kinachooneshwa EATV ambapo jana mgeni wao alikua Zembwela na host wake kama kawaida alikua Salama Jabir. Kiukweli zembwela alifunika sana hasa katika uwezo wa...
2 Reactions
42 Replies
11K Views
Mh Vick amemwomba waziri wa maliasili na utalii kushirikiana na Victoria Foundation kuwaleta watu maarufu duniani hapa nchini ili watu wengi waje na kuongeza utalii. Ameyasema hayo leo bungeni na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
MISS aliyetwaa nafasi ya 2, 2012 katika shindano maalum la mwaka huu, Hamisa Hassan, anadaiwa kuichafua Miss Tanzania kufuatia kwenda kushiriki kinyemela Shindano la Miss University Africa 2012...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naona kila mwaka linazidi kupungua umaarufu wake mwaka huu sijui watamleta superstar gani wa ulaya aliyefulia
0 Reactions
26 Replies
5K Views
bella yuko juu wakuu.wimbo wake fulan hivi siujui jina ila anaimba hivi "uhhuhuhu usiliee.........."kamshirikisha banana. aisee bella uko juu,mutu ya watu,takuja msasani next wk unlushe.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dogo Janja,we bwana mdogo sana ndani ya medani ya Music.... Nakushauri komaa na Elimu,itakufikisha mbali,uwezo wako wa utungaji wa mashairi utakuwa...kikubwa sasa uangalie na Maisha ya madogo...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Congolese music star Koffi Olomide, who was recently charged with rape in France, was given a three-month suspended prison sentence Thursday for injuring his producer in a fight in a Kinshasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
K Lynn whose real name is Jacqueline Ntuyabaliwe is a singer and former Miss Tanzania. Now the gorgeous beauty has decided to take another step further and become a mother. I would say she...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nawasalimu wanajeiefu wote, straight to ze point ebwana huyu msanii anayeitwa WAKUVANGA wa kundi la ORIJINO KOMEDY huwa sioni anachokifanya zaidi ya kunikera!! kuchekesha kwenyewe hajui,anaforce...
4 Reactions
50 Replies
7K Views
Nafkiri sasa umefika mbali sana ww Mahmoud, kama hujui kitu ni bora uulize, nani kakwambia kwamba Maestro ndie final kwa mambo yote ya ufundi ya klabu ya Simba? usijifanye unajua kuchanganua...
0 Reactions
37 Replies
18K Views
Mwana FA ..... Hamis Mwinjuma - Muheza Tanga AY ...... Ambwene Yesaya - Baba Mnyarwanda Mama Mnyakyusa- Mbeya . Huyu ana duka la nguo Sinza Sugu.... Joseph Mbilinyi- Asili yake Songea, baba...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Closed
Akiandika kwenye profile take FB anasema: Friends, On the 1st of September 2012, I will officially start a new wave of my career in Johannesburg South Africa, at Vodacom Group. I have had a...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…