Mistari ya sugu kwenye wimbo wake wa hold on.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mistari ya sugu kwenye wimbo wake wa hold on..

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Somji Juma, Aug 26, 2012.

 1. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,502
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  mara nying nlikua nazckilza nymbo za SUGU za kwenye album yake ya mwisho itwayo VETO juujuu,nldhan amefulia kmashair kama prof.jay lakin leo nimeicklza vzur sana kumbe jamaa bdo kchwa kwa mashairi..
  Ifuatayo n baadh ya mistar ilyopo kwenye wmbo wake wa HOLD ON..
  >"bado unacheza yan mpaka leo we unawaza kupendeza,
  Na utapendeza vip bila fedha,
  Amka kidume huu ndo muda wa kukaza,
  Wasikilze watu ila usiwaamin watu,
  Sababu ni haohao watu leo watakufagilia,
  Kisha n haohao kesho watatangaza umefulia,
  Hawaelew labda mwanangu umeamua tu kutulia".

  KISHA KUNA WIMBO MWINGNE UNAITWA 'MCHAKAMCHAKA',BAADH YA MISTARI YAKE INASEMA HVI..
  >"ni upuuzi kusema game haiuzi wakati unategemea kuuza tapes na cd,
  Si tunauza mpaka lecture kwasababu tuna cv"..
   
 2. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  yaan huyo sugu toka asaliti kwenye antivirus kila afanyalo naliona fake tu.But still namuheshim kwa makubwa aliyofanya nyuma huko
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Pole sana ndio unakuja kuijuwa leo Veto? my foot inaonekana mwenzetu hata kutembea unatembea kwa reverse.
   
 4. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,502
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  Nadhan hujasoma thread vzur nmexema nlkua nayo tangu mda ila nmeicklza kwa umakn jana,wewe usieelewa knachozungumziwa ndo unatembea kwa reverse..
   
 5. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  usilolijua ni usiku wa giza.
   
 6. FULLUMBU

  FULLUMBU Senior Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  funguka kasaliti nn au aliamua kuaacha bfu za kitoto
   
Loading...