Huyu ndiye twite

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
TWITE-2.jpg huyu ndiye Twite mchezaji wa Yanga aliyetua leo Uwanja wa ndege, mchezaji huyu Mcongo aliyekuwa akiichezea APR ya Rwanda pia alikuwa akiwaniwa na Simba.
 
TWITE-1.jpg utani ulikuwepo alivaa jezi iliyoandikwa jina la mwenyekiti wa Simba, Rage.
 
walisema akifika cha kwanza polisi vipi hawajamuona nini.?
 
naona Rage wakati huu atalia machozi yanayoambatana na kamasi
 
Huyu jamaa amebebeshwa umaarufu sana sidhani kama ana uwezo kiasi hiko.
 
karibu kuua soka lako, hapa ndo bongo
hata aje nani ligi zake 2, ya tatu kushney
chezea bongo wewe
 
nataman atakapokua anaondoka ataagwa hivi hivi,kama mna kumbukumbu Asamoah naye alipokelewa uwanjani baada ya Rage kumtangaza Simba, je kuna yoyote anayejua hata aliondokaje?
Huyu jamaa amebebeshwa umaarufu sana sidhani kama ana uwezo kiasi hiko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom