Wasanii wa Bongo Fleva wanalogana, uchawi watikisa muziki.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasanii wa Bongo Fleva wanalogana, uchawi watikisa muziki..

Discussion in 'Celebrities Forum' started by matumbo, Feb 2, 2012.

 1. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kumekuwa na kushutumiana kunakoshika kasi kwa wasanii wa Bongofleva kuhusu ishu za ushirikina,ambapo wasanii mbalimbali wanatoa shutuma kwa wasanii wenzao kwamba wanawaloga na kuwaibia bahati zao kinyota...aya maneno yamekuwa yakiongewa chinichini muda mrefu na wasanii wenyewe lakini sasa wengi wanayaongea wazi wazi,bila kuuma maneno...
  Nimeshamsikia Q-chief akilalamika kwamba T.i.d na Kassim wanamchezea kwa waganga na kuchukua nyota yake ya muziki,Nature akimshutumu Said Fella lakini sasa wasanii wengi shutma wanazipeleka kwa kundi la Tiptop linaloongozwa na meneja Babu Tale,pia kundi la Wanaume Tmk ya Fella wanazungumzwa sana juu ya hii michezo ya ushirikina kwenye muziki..

  Nawashauli wasanii wa Bongofleva waachane na ishu za kutafuta mchawi,Mchawi wao wanamjua vizuri.
  Pia waachane na ishu za kula unga,huo sio ujanja,mjanja hali unga,maana siku izi imekuwa fasheni kila msanii anakula unga.
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Uchawi una-run dunia wewe.
  Ndumba ndo mpango mzima, pamoja na juhudi zao za vokali lazima watembeetembee!
  Q-Chief asiwalazie damu hao, awaendee Mlingotini.
   
 3. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Loh! Mungu akunyime vyote akupe akili, ivi bado watu mpaka Leo wanaamini uchawi? Tena vijana wa taifa la kesho
  Au sijui wanaitwa ma star uchwara.
   
 5. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Kama viongozi wao kutwa kucha kwa waganga unafikiri hawa watoto watajifunza wapi na kwa nani? Kuhusu uchawi kama una sehemu ktk mafanikio mie naona ni imani tu...kama mistari ipo ipo tu kama haipo haipo tu!!!
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  watoto wa kiswahili kwa uchawi!
   
 7. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Juzi juzi hapa Chid Benz aka Chuma alikuwa anaojiwa na redio moja ivi,akasema kupotea kwake kimuziki ni kuna mkono wa Kassim naTundaman.
   
 8. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ha ha ha.. lol!
  Nasikia ata kina Jiga,Rihana,Kanye wanaloga balaa.
   
 9. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  wenyewe wanakwambia ata ufulie vipi,we nenda Tiptop connection utashain kama underground anayetoka na singo kali..kule kuna mafundi unaambiwa,babu wa ManzaBay si mchezo.
   
 10. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  hawa mabongo fleva mchawi wao wanamjua sema basi,sijui izi nyunga wanazofakamia siku izi zinawapofusha!!
   
 11. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  maarifa wanayo sema kufulia mkuu,lazima utafute mchawi.
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  they are much more than wachawi, they are satanic!
  Muziki wao umetawaliwa na makafara na wengi wao wamejiweka wakfu kwa shetani. Ni aheri uwe mchawi kuliko kuwa level za wale jamaa...
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  deadly wrong!
  Kusema hakuna uchawi ni sawa na kudai shetani hayupo, hence HAKUNA MUNGU!
  Huwezi dai kuwa Mungu yupo halafu shetani akosekana, yeye na matunda yake, uchawi ukiwa ni mmojawayo.
  Badilika ndugu, wachana na blind civilization. Uchawi upo, na watu wanalogwa!
   
 14. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ivi kumbe wa mtoni hatuuiti uchawi??ule unatafutiwa jina tamtam kidogo..kuna siku moja nilikuwa natizama show ya Jo makini,huwezi amini jamaa alikuwa anafanya kama Jiga ile ishara ya kilucifarian,nilistuka sana nikajiuliza wabongo nao wamo??au ndio maswagga ya ki-jay zee.
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  wa ulaya wanamaanisha, ila wabongo wanaiga kwa kuvutiwa nazo.
  Kuna ndugu mmoja alishawahi kufanya kazi kuzimu (makao ya Ibilisi, yule mwovu), aliniambia kuwa sio tu ishara, hata hairstyles na mavazi huwa zinadenote satanism.
  Aliniambia kwa mfano celebrity mkubwa anachukuliwa huko chini, anapigwa hairstyle fulani, lets say kiduku, au anavalishwa nguo ya aina fulani, halafu ile style inapuliziwa spirit ya shetani,
  over sudden inakuwa maarufu dunia nzima.
  Kwa hiyo affection inakuwa imeshatengenezwa kwa followers wa ile kitu.
  It shocks!
   
 16. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mkuu ila hii teknojia ya kuamisha nyota ya mwenzio ni kiboko,yani badala ya kung'aa yeye unawaka wewe...kwa nini wasichukue nyota za kina Fally Ipupa au kina Bon Jovi.
   
 17. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ivi kile kiduku sio style za kina Skulls &Bones??
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ogopa sana vitu vinavyopata popularity ya ajabu wakati hakuna chochote cha kuvutia.
  Shetani, Ibilisi anakuwa yuko kazini.
  Remember ile style ya jeans iliyochanwa magotini, aliyokuja nayo Beckie wakati akitambulishwa Los Blancos back in time?
  Jamaa aliniambia ilipitishwa kufanyiwa manouver huko chini.
  Nadhani kiduku, dress za pratakatumba nazo zimepita huko.
  Ila nguo za wadada ndo zinapata sana hii kitu, kwa kuwa men's fashion hardly dies.
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  hivi unajua kuwa Fally ametengwa na familia yake?
  It costed him 3 of his relative kufika hapo alipo, mamake na dada zake wawili.
  Sasa nyota iliyosindikwa na makafara ya damu matatu inapokonyeka kirahisi mkuu?
   
 20. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mh, kama wanatumia nguvu za ziada mbona hawana mafanikio yeyote ya maana zaidi ya sifa za uswazi?
   
Loading...