Yuko wapi K.bazil aliyeimba Riziki?

Mzalendowetu

Member
May 22, 2012
87
95
Huyu mshikaji nilikuwa namfagilia sana kutokana na wimbo wake wa Riziki. Mashauri yake yametulia sana. Ni wimbo ambao hautachuja kwani unagusa maisha yetu ya kila siku.
 

Jayonepey

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
320
225
namkumbuka sana huyu msomi aliyeingia kwenye mziki, wenye taarifa naye watakuja kutueleza zaidi
 

Blue G

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
5,338
2,000
K Bazil yupo ila inasemekana kuwa ameokoka na kuachana na uimbaji wa bongo fleva na kujikita kwenye uimbaji wa
gospel,ambapo may 2011 alizindua wimbo wake wa Yesu Ananipenda.Hapa akiwa na mkewe Perida Mdegella wakiwa kwenye ndoa yao iliyofungwa mwaka 2010 desemba,mkewe pia alikuwa mwimbaji wa kwaya zamani. bazil[1].jpg
 

Marumia

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
644
0
K Bazil yupo ila inasemekana kuwa ameokoka na kuachana na uimbaji wa bongo fleva na kujikita kwenye uimbaji wa
gospel,ambapo may 2011 alizindua wimbo wake wa Yesu Ananipenda.Hapa akiwa na mkewe Perida Mdegella wakiwa kwenye ndoa yao iliyofungwa mwaka 2010 desemba,mkewe pia alikuwa mwimbaji wa kwaya zamani. View attachment 76963
Nashkuru sana Mkuu yani bila hii picha nisingemkumbuka... Duh!
 

Lis

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
471
500
yupo
kawe,kanisa
la
ufufuo
na
uzima
kwa
mchungaji
josephat
gwajima,
anamtumikia
mungu
.
 

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
16,717
2,000
Kama sikosei yupo Morogoro kama Mchungaji ktk moja ya makanisa ya Gwajima.Binafsi nilimfahamu sana kipindi hicho akiishi Sinza,alikuwa na aina ya maisha ambayo ukiambiwa sasa ni mlokole unashukuru Mungu.Hapo ndio inabidi tuamini Mungu anaweza kumbadili yeyote.
 

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,831
2,000
Ana undugu na mtoto wa mkulima nn?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom