Anaitwa Estalinah Peter Sanga a.k.a linah mi binafsi namkubali kwa kipaji alicho nacho ngoma kama natamani,angalau na oliver twist rmx nazikubali
Anaitwa Estalinah Peter Sanga a.k.a linah mi binafsi namkubali kwa kipaji alicho nacho ngoma kama natamani,angalau na oliver twist rmx nazikubali
Nadhani we utakuwa ni mke wa mtu.
Manake mke wa mtu ni SUMU.
Anaitwa Estalinah Peter Sanga a.k.a linah mi binafsi namkubali kwa kipaji alicho nacho ngoma kama natamani,angalau na oliver twist rmx nazikubali
Wangapi Wanacopy Na Kupesti Na Wana Hit Kama Timbulo Mi Naikubali Sauti Yake Haijalishi Copy
Kweli Sikatai Hana Kipaji Cha Kutunga Ila Ana Kipaji Cha Kuimba Mbona Michael Jackson Alitungiwa Wimbo Wa Not Alone Na R-KELLY
LOL! Unavunga siyo? Hakuna kujuana hapa. Ni mwendo wa kuchanana tu. Na bado naendelea na wenye tabia ya kusalimiana kwenye thread za watu. Acheni kutafuta umaarufu wa kijinga. Kama huna cha kuchangia kaa kimya. Unatafuta umaarufu JF kwa kuComment kwenye kila thread? ACHA NISHAI. Idi*t.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umeshinda Wewe Haya Nitajie Msanii Wa Kike Aliye Kwenye Chat Hapa Bongo Unayemkubali
Anaitwa Estalinah Peter Sanga a.k.a linah mi binafsi namkubali kwa kipaji alicho nacho ngoma kama natamani,angalau na oliver twist rmx nazikubali
We Mke wa Mtu hebu funga Bakuli lako then chukua kopo ukachambe.
JF si kama hivyo unavyotaka iwe.
Zunguka thread zoote hutakosa watu kama Gang Chomba.
Haya shtuka
Naelewa kila sehemu kuna wapumbav* ndo maana nipo hapa ili niwarekebishe nyie wapumbav* wachache. Badala ya kufanya mambo ya maana jamii nzima ikutambue unataka kutafuta umaarufu JF kwa kuComment kila thread (hata kama huna unachokijua kuhusu hiyo thread) ili uonekane then watu tukujue. SHAME ON YOU. Nitawakomesha.
CHADEMA tunataka kuitoa CCM madarakani kwasababu tumechoshwa na mambo ya utawala wao unaoendeshwa kwa kujuana. Sasa na hapa JF mtu yeyote akikosea nitamwambia. Haya mambo ya mtu anakosea halafu watu wanakaa kimya kisa eti ooooh kajiunga tokea 2007, sh*t! WTF?
Na nataka kujua kwanini post yangu ya mwanzo niliyokupa ukweli wameifuta? Au ndo kulindana kwenyewe?! Mimi na nyie tu wapumbav* wachache hadi kieleweke. UKIKOSEA LAZIMA NIKWAMBIE. Mkikosea nyie watu wanyamaze ila wakikosea waliojiunga Dec. 2012 mnawadhihaki na matusi juu! WTH?!
Wewe ndo unatakiwa uwafundishe wageni wanaojiunga leo jinsi ya kutumia majukwaa correctly matokeo yake wewe ndo unakuwa kiongozi wa kuMisuse majukwaa. Kafanye masihara yako kwenye jukwaa la Jokes/Utani halafu uone kama kuna mtu atakayekuuliza kitu.
N.B.: IFUTENI NA HII.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ok SuMu.
It seems like uko serious now.
Thread inasema ''msanii ninayemkubali.''
Then mi nimemtaja jamaa.
Je kuna mambo mangapi jamaa katupiga blaa blaa?
Je hafai kuitwa msanii?
Au we unahisi sanaa ni kuimba tu?
Hata maigizo ni sanaa Sumu.
Na jamaa uongozi wake umejaa maigizo.
So mi kumtaja jamaa si kama nimekurupuka, hiyo nimedhamiria na nina maanisha.