Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii wa miondoko ya hip hop alimaarufu Daz Mwalimu au daz baba...amechanganyikiwa na kuwa kichaaa hii inavyosemekana ni kuwa ni bangi na utumiaji wa madawa ya kulevya. Inavyosemekana alianza...
1 Reactions
18 Replies
10K Views
Na hizi ni takwimu zilizo kwenye youtube account ya Diamond pekee. THANX FANS WA KWELI..WCB FOR LIFE.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Madee na nyumba yake ya kujikweza!!ni kweli gharama yake inaweza kufika milioni 125? dj-sek.blogspot.com/2013/09/madee-atumia-mil-125-kujenga-nyumba.html?m=1
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie ili nijue ipi radio kubwa kuliko nyingine,ili baada ya hapo nifanya maamuzi sahihi
0 Reactions
10 Replies
3K Views
MWANAMKE anayedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchekeshaji mahiri Bongo, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto au King Majuto, Rahma Abdallah (20), ameibuka na kudai kutelekezwa na mumewe huyo...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Dogo ameandika tweets ambazo,zimechefuwa watu wengi,KADISS ELIMU na SHERIA za MAREKANI. source-- http://newztanzania.blogspot.com/2013/09/wamarekani-wachukizwa-na-hizi-tweet-za.html
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MWANZONI MWA MIAKA YA 2000 hawa majama hakuna anaebisha walikua on fire mbaya hebu leo tujikumbushe ama tuulizane kati ya ALWAYS ON TIME (JARULE) VS iN DA CLUB (50 CENT) ni wimbo upi ulikukosha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomba 2kumbushane kidogo ktk hili.hivi kund la kwanza unit lilikuwa linaundwa na wasanii wangap?majina yao ikibidi.walliohai ni wangap na wanafanya nini hiv sasa? ?
0 Reactions
21 Replies
12K Views
moja ya sifa ya huu mziki ni majibzano katika nyimbo. mmoja akitoa line flani mwngne anaijbu,either kwa kusuport or kuipinga. .1.'hata kwa biti ya kapuka ntapga michano ya hiphop by mwanafa na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau hebu tuambiane ukweli,uyu mwanadada Irene Uwoya anapita nyumba kwa nyumba akitoa ushauri ili tupate jamii bora yenye kuendana na karne ya 21,akipewa ubunge viti maalum...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Anafahamika kama A.Y katika tasnia ya muziki lakini birth certificate anajulikana kama Ambwene Yesaya ni moja kati ya wasanii wanaojua nini wanafanya katika game ya muziki na kuweza kufanya...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Huyu jamaa ukisikiliza mistari yake zinatia moyo huwa anazungumzia sana maisha,,......naona kama anamfunika hata Stamina. Au nakosea?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Katika songi Jipya la Diamond " Mwisho anamalizia na msemo "Watuache Tulale" Neno ambalo Penny alimwambia Wema by the time wanaongelea issue ya kurekodiwa The guy knows how to Apply real life...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
chanzo kilianzia pale alipodai kuibia nyimbo ya nataka kulewa kuanzia imekua ni vita ya maneno patashika nguo kuchanika kalia kuliko zote ni juzi pale kwenye show ya fuse odg aka mzee wa azonto h...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
The Richest Drug Dealers: #20 Frank Lucas – Net Worth $52 Million #19 José Figueroa Agosto – Net Worth $100 Million #18 George Jung – Net Worth $100 Million #17 Nicky Barnes – Net Worth $105...
2 Reactions
41 Replies
15K Views
namshukuru aliyelileta jukwaa na sote kupata nafasi ya kuelezea na kushare idea zetu,naanza hivyo kwa leo na amani iwe nanyi wote wanajamvi naanza kama ifuatavyo.CRAZY GK nimeanza kumjua kitambo...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kumekuwa na malalamiko ya wasanii wengi kulalamika kuibiwa nyimbo zao na msanii diamond platinum, alivyotoa "mbagala" kuna bwamdogo aliyeimba "tandale " alilalamika kuibiwa hiyo nyimbo,alivyotoa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Zamardi hakuna kitu kabisaaaaaaaaa! Anapenda kuwauliza watu maswali ya kuchonoa wenzao ili waropoke afu anawaita waliotuhumiwa waropoke nao! Afu roho yake ndo inarizika. Juzi juzi kaleta beef kati...
3 Reactions
67 Replies
15K Views
  • Closed
couple yenu nimeikubali,tunawatakia maandalizi mema ya mtoto mtarajiwa hivi karibuni,pia maandalizi mema katika harusi yenu.
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Back
Top Bottom