Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwenye shoo ya Mtwara mlisema anakuja Ommy Dimpoz. Hatukumuona. Kwenye shoo ya Iringa mlisema anakuja AY. Hatukumuona. Kwenye shoo ya Mwanza mlisema anakuja Diamond. Hatukumuona. Kama ndiyo njia...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Wasanii wanaobadili sauti zao na kuongea kama watu maarufu mi wananiboa,naona kama hawapo funny,kama Steve Nyerere yaani naona kama katuni akiigiza sauti ya mwalimu,Kwenye Movie za King Majuto...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa kizazi hiki cha wabana pua ni ngumu kumkumbuka huyu mwanadada wa Congo lakini enzi zake alitikisa hasa, natamani mno wasanii wetu wajifunze kwa wanamuziki kama hawa japo kwa kusikiliza nyimbo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hali ya Msanii Banza Stone yaelezwa ni mbaya,kwa sasa yupo nyumbani kwake maeneo ya Sinza Vatican akijiuguza,wadau na wapenzi wa Msanii huyu wamsaidie apate mshauri kwani amekata tamaa,huku akiwa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
EPIQ BONGO STAR SEARCH 2013 itaonyeshwa TBC1 na sio ITV tena kama tulivyozoea huku Chief Judge Madam Ritha akisema sababu kubwa ya kufanya hivyo ni sababu za kibiashara(sijui zipi hizo) na pia...
1 Reactions
57 Replies
9K Views
Leo dada wa mkasi anatimiza miaka kadhaa. Hongera kwa kila alichotufanyia kwenye muziki wetu(enzi za planet bongo ya ukweli kabla mbana pua dulah hajaiharibu) hadi sasa kwenye mkasi. Muungano...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Jamana hawa watu nimetokea kuwakumbuka leo hii wapo wapi hawa watu aisee nimewamiss sana toka kipindi kile cha mambo hayo itv..... Sent from my BlackBerry 9000 using JamiiForums
1 Reactions
19 Replies
13K Views
Habari wanaJF,inajulikana kuwa msanii ni kioo cha jamii,na tunaamini jamii ni rahisi kumuiga msanii au mtu flani ambaye ni maarufu,tujadiri kidogo kuhusu wasanii wa hapa ndani ya nchi yetu kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwigizaji Irene Uwoya ambae alipata tuzo ya Steps kama mwigizaji bora kike 2012/2013 amethibitisha kuacha kuigiza movie kwa sasa ili kufanya kazi ambayo ameianza hivi karibuni. Namkariri akisema...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
msanii maharufu kipind cha nyuma kidogo amefarik dunia .Hizi habari nimepata kutoka watu wa karibu na yeye ni maharufu kwa jina la MACK 2B
1 Reactions
40 Replies
13K Views
Nimeshangazwa Tanzania kuwa na miss asiyekijua kiswahili kwa ufasaha!anakiri kwamba kiswahili chake sio kizuri eti ata2mia muda atakaokuwepo kujifunza na kukieneza!.NB:hivi inawezekana vp taifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa anastahili pongezi kwa jinsi alivyobuni namna ya kuzitangaza fursa za nchi yetu kwa watu. Sijawahi kuona kitu kama hiki kinachoendeshwa sasa na Clouds FM. Yaani watu wamehamasika na kuelewa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Lile tangazo la bibi kiroboto kwenye hakatwi mtu hapa,ile body language inaashiria nini? Naona katanua miguu halafu mikono kailekeza sehemu za siri huku anasema hakatwi mtu hapa! Kazi kwenu wateja...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara maarufu wa Dar es Salaam Ajulikanaye kwa jina la Mzamir hivi sasa hana tena uume baada ya kufanyiwa unyama wa kutisha huko China. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa...
0 Reactions
111 Replies
28K Views
diamond platnumz akimkabidhi Mzee Gurumo gari jipya alilomnunulia @ Serena Hotel Dar source BONGO 5
2 Reactions
77 Replies
16K Views
Kila siku na kiingereza kilekile kibovu tu. Vipi wewe? Tumechoka kusikia ''in a house,'' ''you know what it is,'' ''it is what it is'.' ptuuuuuuuuuuu.......Kama lugha haipandi kaka una ruhusa...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
Habari wanajamvi i hope mko poa na mnaendelea na mishe mishe za kila siku.leo na swali kwenu hivi nini maana ya utangazi coz juzi tu nilikuwa nasikiliza redio moja dah!! Kiukweli sikuelewa jamaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo saa 8:45 usiku wimbo wa ''WANAUME KAMA MABINTI'' wa Lady Jay Dee ulisikika kwenye kipindi cha ''Late Night Show'' cha hii redio. Japo mtangazaji wa kipindi hakuumaliza wimbo mzima, ni dalili...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Bonge la dude toka kwa binamu na woman and a half 'jay dee' aka anaconda.complex ndo alitengeneza hyo huku adam juma akismamia video. Bahati mbaya umepata pigo kwani wahusika hawawezi tena imba...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Radio V-103 iliyoanzishwa miaka 25 iliyopita Chicago, Marekani inatumia The Peoples station kama Clouds fm. Any coincidence? Link hii hapa: V103 - TODAY'S R&B & OLD SCHOOL: CHICAGO
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom