Yahusu kundi la kwanza unit | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yahusu kundi la kwanza unit

Discussion in 'Celebrities Forum' started by kadoda11, Oct 13, 2011.

 1. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,306
  Likes Received: 8,399
  Trophy Points: 280
  wadau naomba 2kumbushane kidogo ktk hili.hivi kund la kwanza unit lilikuwa linaundwa na wasanii wangap?majina yao ikibidi.walliohai ni wangap na wanafanya nini hiv sasa?
  ? kwanza-unit.jpg
   

  Attached Files:

 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Picha unayo.Unataka majina tu? Namjua Mc Ramso na yule mshkaji alikuwaga anarap fasta [hapo kakaa katikati ya wenzake] aliingia kwenye drugs akalosti.Ila yuko fresh kwa sasa.Akili yake ndiyo haiminiki tena.
   
 3. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Dah K.U CREW ! Umenikumbusha mbali sana . Mimi sijui wako wapi hawa watu.
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Chief Ramson, mwingine alikufa ahhh.... Long time sasa, nakumbuka walikuwa wanakuja Jangwani na kigari chao kuuza sura, nikawa nawaona kama vinyamkera
   
 5. Mwanagandila

  Mwanagandila Senior Member

  #5
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Chief Ramso yupo Bongo kwa sasa, alikuwa anaishi Canada kwa miaka kama 10 hivi, amerudi ana mke wa kizungu, ndio aliyekuwa akiendesha show za WAPI pale british council, sema sasa hivi anafahamika zaidi kwa jina la ZAVARA...alikuja na ujio wa hip hop battle freestyle ndipo walipotokea akina Nikki mbishi, Godzilla na wengineo pale tcc chang'ombe.
  Robert Mwingira a.k.a D-ROB alifariki dunia mwanzoni mwa miaka ya 2000, ndo msanii ambaye GK alimuimbia wimbo wa tunakukumbuka daima milele feat TID.
  Y THANG kwa sasa ni doctor na baada y akumaliza masomo yake uk, anerudi bongo na sasa ni daktari katika hospitali ya Muhimbili.
  ADILI a.k.a NIGGER ONE pia alifariki dunia miaka ya 90 ndiye aliyekuwa kiongozi wa KWANZA UNIT wakati wa uhai wake.
  KIBACHA a.k.a K SINGLE mara ya mwisho alikuwa anaishi South Africa ila kwa sasa sina uhakika, ila katika album ya FID Q -PROPAGANDA amefanya interlide kwa truck moja..

  Hao ndo KWANZA UNIT A.K.A KWANZANIAN (D-ROB, K-SINGLE, CHIEF RAMSO, NIGGER ONE & Y THANG)
   
 6. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  kwani katika kwanza unit, dr. Mligiriche hakuwepo
   
 7. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  ubarikiwe.. Walikuwa washkaj zako hao?
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Big Up mkuu,
  But umemsahau Bagzy Mallone alie-rap katika wimbo wa "UTAONA".
  Hii nyimbo ilikua na style ya kipekee yake kwa verse kuenda kwa kiengreza na kiitikio kiswahili.
  Huyu jamaa alikua ni memba wa KU ingawa hakuishi sana Bongo kipindi cha uhai wa hili kundi.
  Kiitikio cha UTAONA;
  Kama hujui Unapotoka,
  Hujui Unapokwenda,
  Fikiri Kabla ya Kutenda,
  Fanya Unavyopenda,
  Iliandikwa Haikusemwa Fanya Mapema sasa Nasema,
  Vitabu vishachomwa na Sintorudia tena,
  Na kama wajua we Utaona!!
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Ingekua vipi angekua hai D-Rob?
  Na Chief Ramso angekua Bongo?
  Y-Thang kwa kidato umrudishe K-Single?
  "Kwanza" ingekua mfano,
  Au tayari ingekua Chongo?
  Kati yao nani angekua Mzigo?
  Na nani angekua Widow?
  >
  >
  Ingekua Vipi - Mwana FA
   
 10. Mwanagandila

  Mwanagandila Senior Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hapana hawakuwa washikaji zangi kiiivyo sema si unajua wabishi wa town enzi hizo, watu wa music tulikuwa twafahamiana tu...
  na kwa kuwa nilikuwa na wakubali sana Kwanza Unit na The Diplomatiz...
  pia Afro Reign, GWM,
   
 11. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mmemsahau eazy E na Koshuma
   
 12. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  y thang = dr yusuph lameck mligiliche
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Ila kimtindo jamaa anaweza kushika Mic mara mojamoja kama wagonjwa wakiwa sio wengi,
  Ha ha ha ha!!!
   
 14. Mwanagandila

  Mwanagandila Senior Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  sawa sawa mkuu tupo pamoja, ni kweli nilimsahau mchizi Bugz Marlone, ki ukweli mchiz ndo alikuwa msela wa kwanza kurudi toma mbele miaka ya 93, anajiachia kitaa kapiga misuko ya ajabu, bonge la bitoz wakati ule alikuwa anakimbiza sana mchizi..
  kaka ndio hiyo nyimbo naikumbuka sana UTAONA, NJOO UPANGA na HATURAP ambayo badae Mwana Fa alikuja kuirudia
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vp Diplomatz Saigon,Dola soul etc
   
 16. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Bugz alikuja baadae kama K.U foundation!
   
 17. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Mchizi alikua Alabama for while hadi kama 2-3 years ago..kisha akajiachia zake UK ambako alioa na kufanikiwa kupata mtoto...nafikiri hadi sasa yupo UK.
   
 18. Mwanagandila

  Mwanagandila Senior Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35

  NB.. msaada tutani kama unayo hiyo track nitupie link jombaaa
   
 19. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,306
  Likes Received: 8,399
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  [​IMG] [​IMG]
   
 20. m

  musami JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2013
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 1,420
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Aliyekuwa anarap fasta(tang twista style)anaitwa consumer a.k.a Fresh G kulikuwa na D rob,Chief Ramso,Eazy B,Y Thang na wengine
   
Loading...