Jamana hawa watu nimetokea kuwakumbuka leo hii wapo wapi hawa watu aisee nimewamiss sana toka kipindi kile cha mambo hayo itv.....
Sent from my BlackBerry 9000 using JamiiForums
Habari wanaJF,inajulikana kuwa msanii ni kioo cha jamii,na tunaamini jamii ni rahisi kumuiga msanii au mtu flani ambaye ni maarufu,tujadiri kidogo kuhusu wasanii wa hapa ndani ya nchi yetu kama...
Mwigizaji Irene Uwoya ambae alipata tuzo ya Steps kama mwigizaji bora kike 2012/2013 amethibitisha kuacha kuigiza movie kwa sasa ili kufanya kazi ambayo ameianza hivi karibuni.
Namkariri akisema...
Nimeshangazwa Tanzania kuwa na miss asiyekijua kiswahili kwa ufasaha!anakiri kwamba kiswahili chake sio kizuri eti ata2mia muda atakaokuwepo kujifunza na kukieneza!.NB:hivi inawezekana vp taifa...
Jamaa anastahili pongezi kwa jinsi alivyobuni namna ya kuzitangaza fursa za nchi yetu kwa watu. Sijawahi kuona kitu kama hiki kinachoendeshwa sasa na Clouds FM. Yaani watu wamehamasika na kuelewa...
Lile tangazo la bibi kiroboto kwenye hakatwi mtu hapa,ile body language inaashiria nini? Naona katanua miguu halafu mikono kailekeza sehemu za siri huku anasema hakatwi mtu hapa! Kazi kwenu wateja...
Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara maarufu wa Dar es Salaam Ajulikanaye kwa jina la Mzamir hivi sasa hana tena uume baada ya kufanyiwa unyama wa kutisha huko China. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa...
Kila siku na kiingereza kilekile kibovu tu. Vipi wewe? Tumechoka kusikia ''in a house,'' ''you know what it is,'' ''it is what it is'.' ptuuuuuuuuuuu.......Kama lugha haipandi kaka una ruhusa...
Habari wanajamvi i hope mko poa na mnaendelea na mishe mishe za kila siku.leo na swali kwenu hivi nini maana ya utangazi coz juzi tu nilikuwa nasikiliza redio moja dah!! Kiukweli sikuelewa jamaa...
Leo saa 8:45 usiku wimbo wa ''WANAUME KAMA MABINTI'' wa Lady Jay Dee ulisikika kwenye kipindi cha ''Late Night Show'' cha hii redio. Japo mtangazaji wa kipindi hakuumaliza wimbo mzima, ni dalili...
Bonge la dude toka kwa binamu na woman and a half 'jay dee' aka anaconda.complex ndo alitengeneza hyo huku adam juma akismamia video. Bahati mbaya umepata pigo kwani wahusika hawawezi tena imba...
Radio V-103 iliyoanzishwa miaka 25 iliyopita Chicago, Marekani inatumia The Peoples station kama Clouds fm. Any coincidence?
Link hii hapa: V103 - TODAY'S R&B & OLD SCHOOL: CHICAGO
Huwezi kufika mbali bila kugeuka nyuma na kuangalia Adui wako kafikia wapi... ili ujue unamuongezea Hatua ngapi Mbele Kumuacha kabisa...! #WCB for life
artwork by Andrew(h.desert)
Nimepata taharifa kutoka kwa mtu wa karibu na Agnes masogange kuwa wanaandaa mapokezi makubwa airport ya kuwapokea ,kinachosubiriwa sasa ni Tarehe rasmi ya kuja,pia ikitangazwa mnaombwa kuja...
Huyu jamaa ni director producer na muigizaji wa movie za kutisha kutokea mkoani mwanza.baadhi ya movie alizowahi kuzitoa ni ile yaCHOZI LA URITHI hii movie ilimpa umaarufu si mwanza tu hadi dar na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.