Kuelekea Mechi ya wanaume Dar young Africa V. Mamelod fc

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
KISASI NI HAKIšŸ”°
Mwaka 2001 Yanga ilikutana na Mamelodi Sundowns katika hatua za awali kwenye ligi ya mabingwa barani Africa .Mamelodi ilikua ya moto kwelikweli ikiwa Chini ya Mwanamama Natasha Tshiclas aliyekua mkurugenzi mkuu kabla ya kumuachia timu Patrice Motsepe.

Matokeo yalikua 3-3 uwanja wa CCM kurumba mwanza na kule Africa ya kusini Yanga tulipoteza 3-2 hivyo wakatuondoa kwa aggregate ya 6-5.

Huu ni mwaka ambao Mamelodi walienda Mpaka fainali wakafungwa na AI Ahly.
WAKUDA hii ni mechi ya kisasi

Wachezaji
Mwanamtwa Kihwelo Dally Kimoko,Mohammed Abdukadir Tash,lddy Moshi Mnyamwezi,Mohammed Abubakar Phantom,Waziri Mahadhi Mendieta,Chibe Chibindu.

Said Maulid SMG,Ally Mayai Tembele,Doy Moke, Edybily Lunyamila na Yusuf Macho Musso.

images (10).jpeg
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    23.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom