wasiwasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Wanaijeria wapata wasiwasi kuhusu hali ya ASAKE baada ya kuonekana kachoka na maisha

    Tuache utani, Mziki ni kazi ngumu jamani kama hauna strategies thabiti. Wanaijeria walalamika kuhusu ASAKE kubadilika muonekano na kuanza kufanana na watu wa kawaida japo kuwa ana mamilioni ya pesa kwenye Account za benki. ASAKE aliyezoeleka kuwa ni mtu wa fashion za kuvutia, siku hizi amekuwa...
  2. Suley2019

    Prof. Lipumba: Napata wasiwasi kanuni zipi kutumika Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi. Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa...
  3. Danielmwasi

    Wasiwasi wazuka Yanga kuhusu Joseph Guédé Gnado na Miguel Gamondi

    Katika mechi za hivi karibuni, utendaji wa Joseph Guédé Gnado na Miguel GAMONDI katika Young Africans SC umewatia shaka mashabiki na wachambuzi pia. Licha ya kuwa wachezaji muhimu kwa timu, kuna shaka za rushwa zinazozunguka uteuzi wao kwa mechi kubwa, hususan kwa Guédé. Uwezo wa Guédé ni...
  4. Danielmwasi

    Gamondi ana nipa wasiwasi na quality yake, I will do background check why he was fired in previous team

    Here are the reasons 1: Substitution: mzito, very late and bad substitution of players? 2 : guede issue : he is bad slow player who affect yanga energy, why ana mtaka I don't know? Why 90mins in egpty match? Why musoda off position? 3 : corruption: guede probably ana deal with Gamondi...
  5. Z

    Nina wasiwasi lakini sifahamu sababu

    Nina wasiwasi mkali Sana lakini siioni sababu. Nifanye nini kupunguza hii hali
  6. BARD AI

    Inatia wasiwasi na kuumiza sana kuona Majeshi yetu yanavyotumika Kisiasa

    Yaani baada ya CHADEMA kutangaza maandamano kuanzia Januari 24 ghafla Mkuu wa Mkoa wa Dar anaibuka eti Majeshi yatakuwa yanafanya usafi katika jiji la Dar. Yote hii ni kutisha Wapinzani wasitumie haki yao ya kikatiba kwa uhuru.
  7. David Harvey

    Nimepatwa na wasiwasi wakati wa kulala wife anavaa vipensi vya jeans

    Mwanzo alikuwa analala kichele bila chupi ata ukifunua shuka unaona zigo ili hapa linang'aa kazi yako unapaka mate unachomeka akija kushtuka usingizini anakuta unaendelea na show. Sasa hivi yapata wiki wakati wakulala anavaa vipensi vya jeans tena vinambana haswa ata ukitaka kupiga mambo...
  8. L

    Mabadiliko ya tabianchi yawafanya wanasayansi kuwa na wasiwasi zaidi kuhusu athari za sayari katika miaka ijayo

    Kwa sasa kila mtu anatambua kuwa kadiri siku zinavyokwenda mbele ndio viwango vya joto duniani vinaendelea kuongezeka, dhana ambayo watu wengi walianza kuwa nayo akilini mwao miongo kadhaa iliyopita. Tukitupia macho mwaka huu wa 2023 ambao ndio unaelekea ukingoni, tumeshuhudia kwa macho yetu...
  9. BARD AI

    Wasiwasi Mwabulambo wa Azam TV atajwa kupokea Rushwa ya Tsh. 800,000 ili aidhinishe kipindi cha TV

    ===== UPDATES: 01 DEC 2023 ===== Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigizaji na mtengeneza filamu, Deogratius Shija, akiwatuhunu baadhi ya wafanyakazi wa kampuni yetu kwa vitendo vya rushwa. Kampuni yetu...
  10. Kiboko ya Jiwe

    Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

    Hello, Ni miaka 7 sasa mishahara tunapokea tarehe 21, 22 au 23. Kama tarehe 21 ikiangukia katikati au mwisho wa wiki mshahara tunaupata tarehe hiyo. Kama tarehe 21 ikiwa Jumapili au Jumatatu basi Jumanne tarehe 22 tunapata mshahara. Sasa jana tarehe 22 Jumanne kwa kawaida ilibidi watumishi...
  11. Uhakika Bro

    Hivi ni nani alotudanganya kuwa wasiwasi ndio akili? Sio kweli, udadisi ndio akili

    Unataka kuwa na akili? Tena kimsingi sio kutaka kuwa na akili, bali ni je? Unataka kuzitumia akili ambazo tayari unazo? Na je Unataka mwanao aweze kutumia akili alizojaaliwa kwa kuzaliwa tu akiwa Homo sapiens a wise humanoid? Je unataka awe mwenye uwezo wa kujifunza? Ni kweli matumizi...
  12. W

    Ushiriki mdogo wa vijana katika nafasi za uongozi Tanzania unatia wasiwasi

    Nchini Tanzania, ushiriki wa vijana katika nafasi muhimu za uongozi bado ni mdogo sana, hali ambayo haionyeshi ukweli wa idadi ya watu wa nchi. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ilifunua kuwa takribani asilimia 50 ya Watanzania wana umri wa miaka 18 na chini, na thuluthi mbili ya idadi ya...
  13. OCC Doctors

    Tatizo la wasiwasi na hofu

    Ugonjwa wa Wasiwasi (Anxiety disorder) unaweza kutokea ghafla, kama hofu, au hatua kwa hatua kwa dakika nyingi, saa, au hata siku. Wasiwasi unaweza kudumu kutoka sekunde chache hadi miaka na hudumu kwa muda mrefu. Wasiwasi ni kati ya mashaka ambayo hayaonekani sana hadi hofu kamili...
  14. O

    EDO KUMWEMBE:: Air Manula wala asiwe na wasiwasi nafasi yake ipo salama

    UNAPOKUWA Aishi Manula nyakati hizi unakuwa na wasiwasi mwingi. Wakati upo kwako Kitunda unaambiwa kwamba Simba imepeleka golikipa kutoka Brazil katika kambi yao ya Uturuki. Moyo wako unapatwa na wasiwasi. Hakuna mwanadamu ambaye hana hofu na kazi yake. kazi ni maisha. Kazi ni kila kitu. Lazima...
  15. benzemah

    Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

    Mwanamke mmoja mkazi wa Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Mariam Mwakabungu (25) amejitolea kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na wanaotelekezwa na mama zao katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana. Mariam ambaye ni mke na mama wa watoto wawili, alianza kutoa...
  16. GENTAMYCINE

    Sina tatizo la hawa Wanafunzi 1,907 Waliozaa Kurejeshwa Mashule ila wasiwasi wangu mkubwa uko hapa...

    Je, wamejengwa vyema Kisaikolojia ili wakirejea huko Mashuleni wasijisikie vibaya na kuhisi Kunyanyapaliwa? Je, Wanafunzi wa Kike ambao wanaenda Kukutana na hawa Wenzao walioanza Ngono wakiwa bado Wanasoma na hadi Kuzalishwa nao wameshajengwa Kisaikolojia ili Wenzao wakirejea huko Mashuleni nao...
  17. M

    Nina wasiwasi kuna Bia za kuchakachua hapa mjini

    Sina nia ya kuwatisha wanywaji wenzangu wa bia. Lakini nimekuwa ninafanya ulinganifu ninapokunywa bia nikiwa Kenya na nikiwa Tz. Mfano ladha ya Heineken ya Kenya ni tofauti . Pia Heineken ya sehemu kama Serena hotel au Supermarket kubwa unakuta ina utofauti wa Ladha na hata harufu na...
  18. L

    Kupigwa marufuku kwa Micron kwailetea Marekani wasiwasi mkubwa

    China hivi karibuni ilitangaza kupiga marufuku kampuni za miundombinu muhimu nchini humo kununua bidhaa za Kampuni ya Micron ya Marekani inayotengeneza chip za kapyuta, baada ya kampuni hiyo kushindwa katika uchunguzi wa usalama uliofanywa na China. Tukio hili limeleta wasiwasi mkubwa kwa...
  19. Infinite_Kiumeni

    Maana ya Mwanamke kutokua na wasiwasi kuhusu wewe na mahusiano yenu

    Ulikua naye kwenye mahusiano vizuri. Sasa unaona amebadilika. Anakua anajijali kuhusu yeye tu. Utaona ni mbinafsi sana na hana mpango kuhusu wewe. Pengine anakuambia kabisa nina wasiwasi kuhusu mimi mana najisikia vibaya. Ujue amepoteza mvuto kwako. Ujue amekuweka kiganjani. Na anaposema ana...
Back
Top Bottom