wakoloni

  1. Mhafidhina07

    Wastaafu wa Afrika ni wakoloni mambo leo?

    Alinukuliwa mstaafu mmoja akimwambia Mwenyekiti wa kijiji cha pili kuwa maamuzi yanafanywa na mke wake na ikapelekea sitonfahamu kubwa kwa wakati ule, kumbe yule mwamba mtoa hoja alikuwa kashazoea uongozi,ukatili na sifa akajiona kuwa hapati kusikilizwa akaamua kulipuka watu wakamsikia. Miaka...
  2. M

    Dini za wakoloni hazina maisha marefu Afrika. Watu wameanza kujua ukweli

    Jamaa ameongea maneno makubwa sana. Jamaa Kaniacha hoi mwishoni tu alivyomalizia na stiki ya kutolea meno tunaagiza china
  3. Mto Songwe

    Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu? Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
  4. DR.MBWEMBWE

    Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    KAMA ULIKALILI TU MAANDIKO KAA PEMBENI HAUKUHUSU Kama mafundisho ya Dini yanatuambia kuwa Mungu ananijua kabla hata sijazaliwa, maana yake anajua kila kitu ninachofanya na hadi nitakacho fanya baadae (kwa future) (A) Maana yake mimi siwezi kwenda kinyume na anachokijua Mungu, sasa hii kauli ya...
  5. Mto Songwe

    Waafrika kushindwa na wakoloni na kugeuzwa wakristo na waislam inasababishwa na weak civilization? Tumsikilize former Singapore PM Lee

    Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo. Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo. Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu...
  6. Mhaya

    Kwanini wakoloni wameamua kutembelea makoloni yao kwa mpigo

    Juzi kati Mfalme wa Uingereza katua pale Kibera, nchini Kenya. Hatujakaa sawa Rais wa Ujerumani katia nanga hapa Tanzania. Wote kwanza wakaomba msamaha na radhi juu ya unyama waliotenda Babu zao katika ardhi hizi mbili, kuua na kuwafanya watumwa Majimaji warriors kwa Ujerumani hapa Tanzania na...
  7. kavulata

    Kwanini wakoloni wetu wanatuomba radhi sasa?

    Tangu wakoloni waondoke Tanzania na Kenya ni miaka zaidi ya 60 na kwa ujerumani ni miaka zaidi 100 Sasa. Kwanini Rais wa ujerumani na mfalme Charles warudi Leo kutuomba msahama juu wa Yale mabaya waliyotutendea? kwanini sasaa? Tusibweteke na msahama huu, bali tuangalie kile ambacho hakikusemwa...
  8. Kinyungu

    Kipimo cha DNA chaonesha mafuvu yaliyoporwa na Ujerumani kutoka Afrika yatokea Tanzania

    Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti". Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
  9. kavulata

    Wakoloni hawatamwacha Ruto atawale.

    Msimamo wa Rais Ruto kwa wazungu utamgharimu sana, Anaweza kuunganishwa na Gadafi, Sadam, nk. Vibaraka wa maslahi ya wakoloni hawa hapa. Ruto should not take it loosely.
  10. D

    Ukandamizaji wa matumizi ya vitu vya asili na wakoloni

    Kabla ya mkoloni, kila kitu kilicho juu ya ardhi na chini ya ardhi kilikua kinatumika bila woga wala kificho. Alipokuja mkoloni akavikataza, kwasababu.: Aliviitaji kwa kazi zake za viwandani huko kwao. Sababu nyingne ni vitu hivi vilikua vikitumiwa na waafrika katika mambo mengi kama dawa...
  11. AbuuMaryam

    Je, ni kweli wakoloni walikuwa na mateso kama tulivyosoma kwenye historia?

    Kwa sababu, Nilijaribu kuuliza wazee ambao enzi za ukoloni walikuwepo na walikuwa na akili, wakasema hawajahi huexperience hayo mateso mliyosoma. Nikiangalia ushahidi wa akili, wakati tunaelezwa wakoloni walikuwa wakitutesa, hawakutaka waafrika tusome, tuendelee kwa namna yoyote ile. Najaribu...
  12. Hismastersvoice

    Wananchi waokolewe toka kwa wakoloni weusi

    Wakoloni weupe hawakutenda weusi wanatenda.
  13. F

    Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

    Habari wadau. Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc Je, ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni Waarabu? Maana waarabu...
  14. Lycaon pictus

    'Tanganyika' imetawaliwa na wakoloni kwa muda gani?

    Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na wajerumani. Mwaka 1907 vita ya majimaji ikaisha. Mpaka wakati huu mkoloni alikuwa ameishaweka mizizi...
  15. Chikenpox

    Hivi ukoloni Africa utaisha lini. Tazama Rwanda inavyotumiwa na wakoloni kuiibia drc!

    Kipindi Cha ukoloni waafrica tulikuwa tunapigana sisi kwa sisi halafu mzungu ananyakua Mali kirahisi Sana. Mfano mango Sina dhidi ya mango meli halafu mzungu anapita kirahi. Mangungo akalaghaiwa ka mikataba mibovu pia. Sasa Rwanda inatumuwa na wazungu kuwapiga waafrica wenzake i.e Congo ili...
  16. E

    SoC02 Sekta ya Kilimo Tanzania katika uchumi kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi

    SEKTA YA KILiMO TANZANI KATIKA KUKUZA UCHUMI. Kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi, pia biashara ambayo ilihusisha mabadilishano ya bidhaa kwa bidhaa ambapo asilimia kubwa ya bidhaa hizo zilihusiana na kilimo mfano majembe na mapanga, ambayo...
  17. D

    Tanzania itapiga hatua kubwa ya maendeleo pale wakoloni watakaporudi upya

    Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia! Tutasubiri sana! Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je ikitokea vita si ndo itakuwa kiama! Huko Ulaya watu hupigana vita na kuharibu kila kitu, lakini ndani ya...
  18. Kamanda Asiyechoka

    Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

    Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania. Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania. Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
  19. FRANCIS DA DON

    Kwanini nchi nyingi za Afrika wanatumia lugha za wakoloni kama lugha za taifa, hivi hawaoni aibu?

    Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana. Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala...
  20. Kijakazi

    Kwanini Wakoloni walikuwa hawashiriki Uchaguzi?

    Ni kwanini Viongozi wa Ukoloni walikuwa wanaletwa tu kwa nguvu na siyo kushiriki Uchaguzi kwenye nchi walizotawala ? Wananchi hawakuamua chochote waliletewa Gavana kutoka mbali kuwatawala na huyo Gavana hakuwahi kushiriki Uchaguzi hata siku moja, ni kwa nini ?
Back
Top Bottom